Habari nzuri ya kupanua miundombinu. lakini kuna mwenye takwimu uwezo wa DIA kwa sasa ni vikwangua anga vingapi vinaweza kuruka na kutuakwa saa? Na siku kwa saa ni ndege ngapi zinaruka au kutua?
Miradi ya namna hii inabidi iangaziwe pia kwa Shirika la Reli(TRL).