Dar 2 Lagos and Why me?

Blank page

JF-Expert Member
May 28, 2015
5,211
4,328
Jamani naombeni msaada please anaeweza kunisaidia hii movie sikumbuki ni ya mwaka gani but amecheza marehemu steven kanumba,emmanuel myamba pamoja na nancy okoye wa nigeria na wengine wengi,aise ni movie nzuri sana DAR 2 LAGOS.

Pia na picha nyingne ya dokta cheni ya zamani kidogo inaitwa why me? msaada wakuu nitashukuru sana kama nikiipata hata moja kati ya hizo wakuu.though najua ni za kitambo kidgo kipind vhs,nipo tayar hata kufata sehemu ambayo mtu anayo kwa hapa dar.
 
Daaaaah Mkuuu iyo ya Dokta Cheni why me? naitafuta saaaaaana...ile ndo best bongo movie kwangu
 
duh ni hatari hata mimi pia naelewa san iyo picha mkuu,sema kuzipata sas kipind iki ni ngumu coz naona wadau wako kimya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom