ka washi
Member
- Mar 9, 2022
- 38
- 34
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikua naelekea lodge saa 4 baada ya vyumba kufanyiwa usafi. Ngoja nirudi sokoni nikaendelee kushusha mizigo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikua naelekea lodge saa 4 baada ya vyumba kufanyiwa usafi. Ngoja nirudi sokoni nikaendelee kushusha mizigo
Labda akili yako ndo ikupelekee kufanya vitu sivyo ukijambua we ni nan basi uwez ukapoteaPesa na Mapenzi vinaunganaa kumvuruga kiumbe anayetembea kwa miguu 2.
Kazi ipooooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapange vijana wamjongo hao so wanapendelea kukosha uchinjo 2Oya madini haya masta
Amejiangalia yeye alivyo mvivu basi kajumuisha wote.Huu uchunguzi ulifanyia wapi mkuu?
Ata we pia umo piaAmejiangalia yeye alivyo mvivu basi kajumuisha wote.
Sawa juu yako hiloUshauri tumeupokea ila maamuzi ni juu yetu.
SimoAta we pia umo pia
Sawa
[emoji28][emoji38][emoji38]2040 kutakuwa na wazee wa hovyo saana
Waenga walishakufaga kitambo tu now ni vijan tu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Imeisha hyoAsante kwa Ushauri wako nadhani ujumbe umefika