Damu Itamwagika

Kama nitapata nafasi Ya hata dakika moja kuwa waziri wa Elimu Nchi hii!!!, basi kitu cha kwanaza nitaanzisha somo la CRITICAL thinking kuanzia o-level.
 
Bashir alikua anadharau kama jiwe anavyojiamini na sasa yuko ndani ya gereza lilelile alilowatesa wakosoaji wake
 
Hakuna mwenye ubavu huo, na kama yupo basi atakuwa bogaz asiejipenda
 
What makes you say I don't see what is happening?
Didn't I offer my cent on what should be done with minimal casualities?

What you have done here may lead to more victims in the tally.

That hero of yours could be another victim if not you. Did you consult him before making this thread?

I bet the guy would opted another approach rather than making mere threats which pokes the wounded lion.
 
Yeye bado ni mbwa tu,asijejaribu kudhani ana uspecial wowote eti sababu kagharamiwa akasome nje, na amefanywa adhani yuko peke yake makusudi ili asigundue kwamba atakaponyanyua mdomo kumuuma boss, wapo wenzie wanaommudu watatumwa wamzimishe.

Naam, kwani haitafahamika anafanya kwa nia njema au ametumwa pia kwa maslahi ya wengine
, aisee ni kazi sana.
 
Teh teh.....may be....may be.....
 
Hapo jamaa anaongele Mungu
ni Mungu pekee akisema yatosha
mambo yote yatakuwa sawa
Mungu atatoa adhabu kwa watawala Wetu wenye viburi, Wababe, katiri,Watesaji, wasiopenda kukosolewa na wanaojiona kuwa wao ndio wenye haki ya kuishi kwa Amani Nchi hii na kutumia rasirimali za Nchi hii Hakika adhabu yao ni kutupwa katika ziwa liwakalo Moto
Siku zao zina hesabika
 
Ee Mungu wa Mbingu na Nchi. Irehemu nchi yangu Tanzania.
 
Mkuu nimekuelewa sana.. anasubiri tusimamie mguu mmoja atupige mtama.
 
Unatishia watu kumwaga damu as if kuna atakayeishi milele?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…