Japokua kifo kina umri sawasawa na umri wa viumbe hai duniani, lakini hakijawahi kuzoeleka miongoni mwa binaadam, na kila kinapomchukua mhanga wake binaadam tunashtuka! RIP Brother Kanuti, tutaukumbuka sana mchango wako katika Tasnia ya habari!
Ndiyo huyu atakuwa ni Damian Kanuti kuna wakati alikuwa akiripoti matukio kutoka Dodoma! R.I.P Bro. BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA! JINA LA BWANA LIHIMIDIWE!