Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,665
Mwandishi wa habari ITV na radio+one DAMIAN KANUTI amefariki dunia katika hosptali ya taifa muhimbili leo. Kituo cha utangazaji nchini Tanzania ITV na Radio One kimeendelea kushudia vifo vya wahandish wa habari hususani wa kituo hicho.