Inawezekana sana kwa mwanaume kupata UTI:-
kujamiina na mwanamke mwenye UTI bila kinga.
Vyoo vichafu hasa vya umma
Kuvaa chupi chafu kwa muda mrefu
au ku-share hizi underpants na aliepata hai bacteri.
U.T.I ni urinary Track Infection
so urethral sijui ndo iko infected au epididymis sikumbuki vizuri biology yenyewe ya division 5
it is either through sharing toilet , choo hakisafishwi vizuri ( dettol na harpic is effective)
Redioni na kwenye magazeti kuna upotoshaji mkubwa sana kuhusu huu ugonjwa. Kirefu sahihi cha UTI ni URINARY TRACT INFECTION. Siyo TRACK. Wapotoshaji wakubwa ni hawa wanaojiita madaktari wa matibabu mbadala, matapeli wakubwa sana. Wengine wanaenda mbali na kusema ati UTI inaweza kutibiwa kwa kupata dawa mara moja tu. UTI ni ugonjwa wa wote, wanaume na wanawake. Ila wanawake wanaugua mara nyingi zaidi kuliko wanaume.
Ukweli ni kwamba hakuna daktari wa matibabu mbadala anayeweza kutibu UTI.
Tatizo lipo kwa serkali kupitia kwa wizara ya afya kuwaruhusu hawa wapotoshaji/matapeli kujitangaza. Radio wanazozitumia zinajali pesa tu.
UTI isipotibiwa haraka ina madhara makubwa sana, hasa kwa wanawake.
Kwa sababu ya kuongezeka kwa matapeli wa matibabu hivi karibuni, sasa hivi UTI umekuwa ugonjwa common sana kuliko uhalisia.
Kama uko Dar na unahisi una UTI, nenda MUHAS kaonane na Dr wa idara ya Microbiology, au nenda idara ya Internal Medicine. Tatizo ukiwa mikoani.
Hawa matapeli wanatumia vibaya uelewa mdogo (ignorance) ya wa TZ walio wengi.
ndugu wa humu naombeni msaada njia zinazopelekea mwanaume kupata huu ugonjwa wa U.T.I maana kuna mdogo wangu amepima leo urine kaambiwa ana huoo ugonjwa. Je mwanaume anawezaje pata U.T.I .? Karibuni nyoteee kwa michango yenu.
spelling mistake nayo ni upotoshaji hee makubwa ,
anyway ciproprakcin nadhani na maji mengi yanasaidia kusafisha kibofu cha mkojo
MAAMBUKIZI YA NJIA YA MKOJO (URINARY TRACT INFECTIONS -UTI)
a)Kwa wanawake
• Kujamiiana –hii huweza kuamisha bacteria walio kwenye uume moja kwa moja, ama watokanao na maambukizi ya ukeni kuingia moja kwa moja njia ya mkojo
• Kuchezea ama kuchezewa na mikono michafu maeneo ya uke kunaweza kusababisha maambukizi
• Njia mbaya ya kujisafisha baada ya haja kubwa au ndogo inaweza kuhamisha bacteria walio ktk njia ya haja kubwa na kuingia njia ya mkojo
• Matumizi ya pedi za kike zenye kemikali ya kukata harufu ambao huua bacteria wa asili wa eneo la uke na kukaribisha bacteria wanaosababisha maradhi kuzaliana kwa wingi
Vifuatavyo pia vinaweza vikachangia
• Ujauzito –mara nyingi hushusha kinga ya mwili ya mjamzito
• Upungufu wa homon ya ya kike Oestrogen husababisha bacteria wasababishao U.T.I kuzaliana kirahisi
Ukiwa na Tatizo lolote Au swali lolote lile usikose kunitafuta Bonyeza hapa.Mawasiliano
Wewe utakuwa mmoja wa matapeli wanaowaibia watu ati ni mabingwa/madaktari wa tiba mbadala. Mnajitangaza mko Buguruni na Kinondoni kwa manyanya. Acheni wizi. Na redio ziache kuwatangaza maana kwa kufanya hivyo zinawasaidia katika utapeli wenu.
Ndio hizo hizo Pedi zenu feki mimi huko kwangu nilipo ninazo Pedi nzuri.Mkuu MziziMkavu, je hapo kwenye RED unazungumzia ped aina ya HQ????
Naskia hata walaji Wa tigo na wanaambukizwa sana uti!!sasa kama dogo nae ni team tigo aka jicho muadharishe sana pekupeku kwenye lile shimo ni hatari kwa afya yake
Ndio hizo hizo Pedi zenu feki mimi huko kwangu nilipo ninazo Pedi nzuri.
Mkuu MziziMkavu, je hapo kwenye RED unazungumzia ped aina ya HQ????
Ninavyoongea hapa nina UTI
Dah! we noma