Dalili za mwisho wa ulimwengu

Dalili za mwisho wa ulimwengu

tereweni

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
621
Reaction score
373
Dunia inaongozwa na misingi/nguzo mikuu minne ambayo ni:
1. Lugha
2.Sarafu
3.Dini na
4.Siasa.

Ili kutoa nafasi ya kuibuka kwa mpinga kristo na kurudi kwa Bwana Yesu kristo, basi nchi za dunia na watu wake wataacha tofauti zao na kuungana na kuwa kitu kimoja, kuweka uniformity kwa kila nguzo. Tunaona

katika lugha
-mataifa ya dunia yameamua kutumia kiingereza kama lugha yao ya mawasiliani.

Katika Sarafu.
-matumizi ya dola yameshika hatamu na kuifanya kuwa sarafu imara na inayokubalika kwa matumizi kila mahali.

Katika siasa.
-kuwa na UN(umoja wa mataifa) ambao mwenyekiti wake hajulikani ni nani? Isipokuaa kuna katibu wake, hapa bila shaka atatoka kiongozi wa kisiasa atakayekuwa na sauti katika ulimwengu mzima na kufanya kuwa na uongozi mmoja kwa dunia yote.

Katika dini.
- HAPA ni ndipo penye kikwazo, kutokana na kila mtu kua na imani yake, lakini 'new world order' wanajaribu kuileta freemanson kuwa dn ya pamoja, ingawa itachukua muda...
na kwa hikii .
[emoji116] [emoji116]
e74549573d1972b1635e550293881019.jpg
.

Kuna muelekeo wa kufanikiwa.....

.hii ni kutokana na Mtazamo wangu juu ya mwisho wa yote.
 
Hilo lilisha fanikiwa siku nyingi, pengine hata wewe ni mfuasi wa huyo bwana mkubwa katika gazeti hilo. Je huoni kuwa kuna umoja wa makanisa ya kikristo? Je unalijua fundisho la uongo la Mungu nafsi tatu, je fundisho la uongo eti mtu akifa na kuzikwa kaenda mbinguni? Yote hayo na mengine makanisa wafuasi wake wanafundisha watu huo uongo. Mungu anatambua dini mbili tu, ya kweli naya uongo, ile ya uongo imebeba watu wengi kwa majina tofauti tofauti ya dini zao. Ile ya kweli inafata kweli katika Biblia, je unataka kujua imani ya mafundisho ya kweli? (0767716181)
 
kama mtu unaamini yaliyotabiriwa kuwa yatatokea, kujishughulisha kwako na dini ama Freemason kutabadili yaliyotabiliwa? Bila shaka kuna jambo wengi hatulifahamu!
 
Kwani hawajui kuwa Kanisa LA Lutheran walitokea Roman Catholic Church, hiyo ni sawa na mtoto kurudi nyumbani baada ya kutengana na mzazi
 
Ngoja nile raha zikibaki dakika tano ndiyo niokoke na kusali
 
Back
Top Bottom