Dalili za mwanamke anaejiuza

Dalili za mwanamke anaejiuza

mtanzania07071989

Senior Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
153
Reaction score
21
Niaje wana MMU,Kutokana na utandawizi na kalio linalokujia wadada wamekua wakivaa kimitego,tembea zao na hata ongea zao ni za kimitego muda wote,wakati mwingine ni ngumu kutofautisha anaejiuza au anaetega wanaume na yule mwenye umagharibi na hiyo ndio tabia yake hana nia ya kutega,so utatofautisha vp wakuu?
 
Hahaaa, ukiona umefikia hatua hiyo, ujue wengi wanavyaa kwa sababu flani kavaa nae kapendeza. kwa sababu tu ya kupendeza nao hata wale ambao ni wema wamekuwa hawana tofauti ya kimuonekano na wale walioko kwenye soko la moja kwa moja. ebu soma hiki kisa apa chini......

''Maana katika dirisha la nyumba yangu Nalichungulia katika shubaka yake; Nikaona katikati ya wajinga, Nikamtambua miongoni mwa vijana, Kijana mmoja asiyekuwa na akili, Akipita njiani karibu na pembe yake, Akiishika njia iendayo nyumbani kwake, Wakati wa magharibi, wakati wa jioni, Usiku wa manane, gizani. Na tazama, mwanamke akamkuta, Ana mavazi ya kikahaba, mwerevu wa moyo; Ana kelele, na ukaidi; Miguu yake haikai nyumbani mwake. Mara yu katika njia kuu, mara viwanjani, Naye huotea kwenye pembe za kila njia. Basi akamshika, akambusu, Akamwambia kwa uso usio na haya, Kwangu ziko sadaka za amani; Leo hivi nimeziondoa nadhiri zangu; Ndiyo maana nikatoka nikulaki, Nikutafute uso wako kwa bidii, nami nimekuona. Nimetandika kitanda changu, magodoro mazuri, Kwa matandiko ya Kimisri yenye mistari. Nimetia kitanda changu manukato, Manemane na udi na mdalasini. Haya, na tushibe upendo hata asubuhi, Tujifurahishe nafsi zetu kwa mahaba. Maana mume wangu hayumo nyumbani, Amekwenda safari ya mbali; Amechukua mfuko wa fedha mkononi; Atarudi wakati wa mwezi mpevu. Kwa maneno yake mengi na ulaini akamshawishi, Kwa ubembelezi wa midomo yake akamshinda. Huyo akafuatana naye mara hiyo, Kama vile ng'ombe aendavyo machinjoni; Au -------- kuadhibiwa katika pingu; Hata mshale umchome maini; Kama ndege aendaye haraka mtegoni; Wala hajui ya kuwa ni hasara ya nafsi yake. (Mithali 7 15- 25)
 
Back
Top Bottom