Dalili za 'Mikosi' kutoisha karibuni!

Dalili za 'Mikosi' kutoisha karibuni!

omujubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
4,444
Reaction score
2,703
Wale wanaounganisha hawa viumbe na mikosi ni wazi wanaombea wasiendelee kuzaana ili watoweke.
Swali ni je, uzuri wa viumbe hawa tutauona wapi endapo wakitoweka!?
Nawasilisha.
bundi.jpg
 
Hivi huwa anataga ama anazaa? Ukute hata ananyonyesha huyu. Mwone sura, utadhani anataka kutoboa laptop yangu.

Bahati yake mbaya tu kupendwa na wachawi lakini hana madhara yoyote.......ni ndege mwenye tabia za usiku kama kina night jars na wengine........
 
Huyu sura yake haifai hata eye shadow, bora ndege tausi

Bahati yake mbaya tu kupendwa na wachawi lakini hana madhara yoyote.......ni ndege mwenye tabia za usiku kama kina night jars na wengine........
 
Bahati yake mbaya tu kupendwa na wachawi lakini hana madhara yoyote.......ni ndege mwenye tabia za usiku kama kina night jars na wengine........
Msimtetee bana! Bundi ni mwanga tu. Huku uswazi kwetu akionekana huyo juu ya mti ulio karibu na nyumba, lazima wahusika wakamwone "fundi".
 
Msimtetee bana! Bundi ni mwanga tu. Huku uswazi kwetu akionekana huyo juu ya mti ulio karibu na nyumba, lazima wahusika wakamwone "fundi".
na ukimuona kakuangalia kama hivi unahisi nini sasa!? Ndio maana tembo wanaisha kwa tamaa ya pesa kama mnavyowadhania owl na uchawibundiee.jpg
 
mbona kadege kazuri, siku moja nafika home nakuta jamaa zangu wadogo hawako ndani nauliza wako wapi naambiwa wanamshangaa ndege hapo nje, nakuta wanacheza nae...
 
bnd.jpghawa ndege wamo kwenye group la 'engendered', wakishatoweka ndio mtajua thamani yao
 
Back
Top Bottom