GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,710
- 128,215
*Dalili za kulishwa limbwata na mkeo ni;-*
1.Ukiwa mtaani unakuwa mbabe ila ukiwa Kwako na Mkeo unakuwa Mpole sana
2. Hupendi Ndugu zako kuja Kwako ila wa Mkeo unawalazimisha waje
3. Ukiwa unaongea na Ndugu zako huwa unakuwa na Hasira ila wa Mkeo meno yote 32 nje
4. Unasikia uvivu kwenda kusalimia Kwenu ila kwa Mkeo unatamani uende kila siku
5. Ukiombwa Hela na Ndugu zako unawaambia subiri hadi uzungumze na Mkeo Kwanza
6. Ukipokea tu Mshahara lazima utamwambia hata kama hajakuuliza
7. Ukiwa nae Kitandani unaogopa kumwomba Mbunye hadi akuambie Yeye
Hongera kwa Kukopi ' maudhui ' mazima ya uzi wangu kama nilivyouanzisha. Usidhani labda Wewe ni Mjanja sana au unanikomoa bali ndiyo Kwanza unanifanya nizidi kuamini kuwa nipo juu Kiuwezo kuliko Wewe na ndiyo maana huwa mnasubiri GENTAMYCINE nianzishe humu uzi kisha mje muukopi.
Hongera sana Mkuu ila hujanikomoa au kunimaliza kwani hapa ndipo katika Kisima cha ' Maarifa ' na nina mengi sana nitayaibua siku mbili zijazo hivyo nakuomba sana usiache kuja tena na Kukopi threads zangu tafadhali. Niliyategemea haya na najua umefanya ' makusudi ' ili kunipima na kuona nitafanya nini.