Dalili za jini mahaba

Dalili hizi nimezitoa katika mahubiri ya mtumishi aitwaye Arnold Kisanga wa Kilimanjaro katika moja ya masomo aliyoyatoa kupitia Radio Baraka FM 107.7 tarehe 19/02/2021;

Dalili za kuwa na jini mahaba (signs that you're possesed by spiritual wife/husband):
1. Mafarakano katika ndoa
2. Kushiriki mapenzi kwenye ndoto
3. Kuchukia ndoa
4. Kuchumbiwa na kuachwa
5. Kuwa na maamuzi mabaya
6. Kukataliwa na watu wa jinsia tofauti
7. Kuota ndoto za kutisha
8. Kuota unaogelea
9. Kuota huingii kwenye siku za hedhi
10. Kuota una mimba
11. Kuota unanyonyesha
12. Kuota umebeba mtoto mgongoni
13. Kuota una familia
14. Kuota unanunua vitu na mwanaume
15. Kuota umelala na mwanaume kitandani
16. Kuchukiwa na mchumba wako
17. Matatizo makubwa ya uzazi-fungus,uvimbe
18. Mimba kuharibika baada ya kuota umezini na mtu kwenye ndoto
19. Kuota unafunga ndoa sehemu mbaya
20. Kujutia ndoa yako mara kwa mara
21. Kutokuwa na maelewano na mwenzi wako, na kutokufanya jambo kwa pamoja, kuogopa kuongoza na mwenzi wako
22. Kuota ni tajiri ilihali ni maskini
23. Kuota unacheza na nyoka
24. Kuhisi wakati wote kuwa ndoa yako haitafanikiwa ilihali mwenza wako hana shida yoyote
25. Kutokuchumbiwa kabisa sababu ya maringo
26. Kushambuliwa na kuwashwa na vipele mwili mzima
27. Kuchumbiwa na watu wasio dhati (unserious partners) km wapenda ngono tu
28. Umaskini uliokithiri
29. Kubakwa mara kwa mara
30. Mchumba kumpa mimba mtu mwingine
31. Wazazi kupinga chaguo la mwenzi wako huku umri ushaendq
32. Kufiwa na mchumba baada ya kuweka tarehe ya harusi
33. Kifo cha mume ukiwa na mimba ya mtoto wa kwanza
34. Kupoteza kazi mara baada ya kufunga ndoa
35. Wanawake wazima kutembea na vijana wadogo
36. Kupatwa mabalaa baada ya kufunga ndoa
37. Kutokuwa na uwezo wa kujamiiana na mwenzi wako hasa kutokana na kutembea na makahaba
38. Kuwa na makosa mengi katika ndoa
39. Kuwa na malalamiko mengi katika ndoa
40. Kutokuwa na uwezo wa kutawala mawazo juu ya ngono/mapenzi
41. Kumuona mume/mke wako ana umri mkubwa sana
42. Hasira kuhusu mambo ya ndoa, mtu kupatwa na hasira akisikia masuala ya ndoa
43. Kukataliwa na wakwe
44. Kulazimisha kupewa talaka bila sababu ya msingi
45. Kubadilisha wanaume (mwanamke kuzaa na wanaume tofauti)
46. Kuwa na tabia za ajabuajabu
47. Kuamka ukiwa umechoka
48. Mwenzi wako kutokubaliana na kitu unachokifanya hata kikiwa kizuri
49. Kuwa na roho za kusingiziwa
50. Kupatwa na mawazo kuwa uliolewa na mtu asiye sahihi
51. Kupatwa na mawazo ya kuikimbia ndoa
52. Maamuzi ya kuishi bila kuoa au kuolewa
53. Kusitisha mahusiano bila tatizo lolote
54. Kuota/Kupoteza pete ya ndoa siku chache baada ya ndoa
55. Kutokujaliwa na mwenzi wako (kunyimwa unyumba, na huduma mbalimbali)
56. Kuona mto kwenye ndoto (mto wa kulalia au mto wa maji)
57. Mwanaume/mwanamke kuogopa/kukosa amani kurudi nyumbani sababu ya mke/mme wake
58. Kuogopa kutembea na kumtambulisha mwenzi wako
59. Kutokuwa na hisia za mapenzi na mwenzi wako
60. Mume kuanza kuwa mlevi sana mara tu baada ya kufunga ndoa
61. Mwanaume kutamba kila mara kuwa anataka kumfukuza mkewe
62. Kuvaa hovyohovyo (nguo za ndani kuonekana, nguo zilizochanwachanwa)
63. Kutokujijali na kunenepa sana mpaka kupoteza muonekano mzuri
64. Maumivu makali sana ukiwa katika siku za hedhi (kiunoni, tumboni)
65. Kutengwa na familia yako kwasababu ya kazi
66. Kuishi tofauti na familia yako na huku hamjaandikishana talaka
67. Kufatiliwa na roho mbalimbali (kuzini na wanyama ktk ndoto au uhalisia)
68. Kupatwa na magonjwa ya maumvimbe hasa katika viungo vya uzazi
69. Kuwa na hasira kali katika ndoa
70. Kuogopa kuvuka mito ya maji
71. Kuteseka na mapepo mpaka kupagawa
72. Kuwa na mahusiano/mazoea mabaya na wazazi (wazazi kushikashika watoto wao katika sehemu za siri)
73. Kuota unaendesha magari ya ufahari sana ilihali huna
74. Kuota kuwa huwezi kuoa/kuolewa
75. Kuwa na matatizo ya akili mara kwa mara
76. Kuona vitu vya ajabuajabu ukiwa gizani
77. Kukutwa umeng'atwa mwilini mwako asubuhi
78. Kukuta mbegu za kiume kitandani asubuhi
79. Kuwa na vitu vinatembeatembea mwilini
80. Kusikia sauti za ajabuajabu
81. Kupoteza nguo za ndani
82. Kuwa na harufu mbaya unapokuwa na mwenzi wako
83. Kufeli sana katika masomo
84. Kuwa na mzazi mmoja
85. Kutokuwa na roho ya utii
86. Kuonekana mzee au mkubwa zaidi ya umri wako
87. Kufanyiwa operesheni mara kwa mara
88. Matatizo yasiyoisha
89. Kuwa na maisha ya kuyumbayumba katika ndoa (kupigwa kuondoka na kurudi)
90. Kubakwa kwenye ndoa
91. Kuambiwa kila mara kuwa ulioa au uliolewa kwa bahatimbaya
92. Kutokujali kama ndoa yako itadumu au haitadumu
93. Kutokuwa na nguvu za kiume
94. Wanaume kuwa na roho za kike
95. Kuchoma picha za harusi na vyeti vya ndoa
96. Muonekano wako wa nje kufanana kama jini
97. Kubakwa katika uchumba na kutamani kujiua
98. Kutukana matusi hovyohovyo
99. Kwenda disco na kujiunga katika makundi yasiyofaa
100. Kujichua, kuwa na mapenzi ya jinsia moja, kutumia vifaa vya plastiki kufanya mapenzi mwenyewe
101. Kuwa mlevi na kupenda nyimbo za kidunia
102. Kufanya mapenzi kinyume na maumbile (wengi wanatumwa na waganga ilikuiba nyota za watu) 1Timotheo1:10, 1Wakorintho6:9-10
103. Kupenda kutazama video/picha za ngono
104. Kuwa na tabia ya kuwachuma wanaume/wanawake, kuloga ili upewe pesa
105. Kuloga ili mwanaume/mwanamke akupende
106. Kuharibu au kutoa mimba
107. Kuwa mbea na kusengenya watu alafu kujifanya mwema
108. Kuvaa shanga kiunoni za kupewa na waganga ili kumfunga mwanaume
109. Kutegeshea wanaume vitu katika vyakula ili kuwakamata
110. Kuchanjwa chale kwenye sehemu za siri (chale moja ni jini mmoja)
111. Kutumia madawa ili kukuza makalio au nguvu za kiume
112. Kutamani wame/wake za watu
113. Kufunga ndoa zisizo za kidini
114. Kujishikashika sehemu za siri ukiwa faragha au sehemu ya adhara
115. Kuwashwa mwilini
116. Kuwa na tamaa ya ngono hasa ukiwa peke yako
117. Kuhisi unalala na mtu kitandani
118. Kusisimka hovyo mwilini
119. Wanandoa kukosa hamu ya tendo
Duh!! vipi kama mtu akiwa nazo zote hizo
 
Yani hata kama kuna ukweli inakuwa kama anabahatisha sasa nani hapo anakosa kupata hata sifa 5 mpaka 10 kwa sifa zote hizo..??
 
Tafuta msaada wa maombi kama una dalili yoyote hapo maana hili jini/pepo nasikia linapukutisha uchumi
 
Mi sababu yoote hiyo unadhani mtu anakosa hata 2,3 katika hizo?

Yoote 9, 10 ina maana ni wanawake tu ndio wanapata jini mahaba, vidume hatupati?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom