Dalili ya mvua ni mawingu

akimwaga mboga, na mi namwaga ugali, maji ya kunawa, chachandu n.k. na mimi ntaanza kuchana mistari ya kimombo kama T I-no mediocre
 
Kwanza taarab ndani kwangu mwiko. Katika nyimbo zilizokaa kushoto kwangu ni taarab..! That's why hata katika choices zangu nilihakikisha "mswahili" WA hivyo Hana nafasi kwangu.
 

ukiona anaanz kuimba ujue ana kipaj mpeleke T.H.T ili aendeleze kipaji
 
tabia za watu wa pwani hizi.

Wala jamani tabia hizi zimeibuka asa iv na kila kona asa iv kila mtu anaimba taarab bt wengi walokuwa wastaarab km mm napenda taarab zenye maneno matamu kama asali. Namaanisha taarab asilia, huchoki kusikiliza maneno maridhawa na pia maneno yanafichwa sii hizi za kina mzee yusuf uchafu mtupu aibu ht kusikiliza na wakubwa zako eti zinaitwa rusha roho! Kiasi huyo mme awaze vibaya kwan zina kila aina ya vituko kazi mafumbo tuuu eti ndo zinapata soko.
 
Je ukimkuta anakuimbia ya laiti, njiwa peleka salamu, Tx mpenzi, nikumbatie pia zinakutia stress?
 
hawaziimbi hizo!

Huwa anaimba huu au

"Alhamdulillahi zangu ndo zinazokudhuru
Mabaya ukitenda kwangu silipizi nashukuru...
Iko safi nia yangu....sina rangi ya kunguru...
Uchawi si sifa yangu...naiepuka kufuru"

Hapo kama umetoka kuchepuka lazima upate stress....!
 
utaondoka mara ngapi ndugu? Na dawa ya tatizo sio kulikimbia, ni kulitatua, kulingana na mjumbe mmoja kabla ya kuoa na wewe angalau ujue miziki ya kufoka foka.

sio kuondoka kwa maana ya kuachana ( nenda some where poteza mda hapo) ukirud unafanya ya msingi siku imeisha
 
akianza ivi: titititititiriiiiiiiiiiiiitititititititiiiiiiiiii wajifanya kuwabize kumbe walioko bize wanaendesha totota landcruser lx babu.
 
Akikuambia Kanitangazeeeeeeeeeeeee!!! Stukaa
 
Anaweza kuwa anaimba kwa kujifurahisha!
 

Usijali baba watoto ntaimba gospel
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…