atakuwa anatumiwa na mabeberuUkiona mpenzi wako anakuwekea vikwazo kwenye mawasiliano ujue hakupendi,mfano unaambiwa usinipigie Simu usiku ,au usinitumie sms ,brother kimbia kabisa Huyo hakupendi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa noma sanaDaaa c bora ivo... wengine hakwambii ila ndo simu hazipokelewi usiku au anaanza sababu, siku hizi umekuwa .... sipendi au dk 2 mnakosana kitu kidogoooo utatumia resources nyingi sana kumrudisha n.k
ππππ Hii nayo kali!
ππππ