Dalili njema za CCM kushinda

Dalili njema za CCM kushinda

Ni muhimu washabiki wa timu iliyoshinda wakaachwa wakifurahia ushindi bila kuharibiwa mood
 
Mwl Nyerere alisha wahi sena atakaye iangusha CCM atatoka ndani ya CCM na si mwingine bali ni Edward Lowasa kupitia UKAWA

Vivyo hivyo atakae iangusha simba atatoka ndani ya Simba na si mwingine bali ni Khamis Tambwe kupitia Yanga

Viva Edward Lowasa Viva Khamis Tambwe 😜😜😜😜
 
Tulime mkuu kumbe hata wewe una kiasi kidogo cha ubongo? Nilikuwa nakuamini nimegundua wewe huna tofauti Na wale wapiga debe Wa kinondoni manyanya umri huo unaipigia debe CCM?
 
Tulime mkuu kumbe hata wewe una kiasi kidogo cha ubongo? Nilikuwa nakuamini nimegundua wewe huna tofauti Na wale wapiga debe Wa kinondoni manyanya umri huo unaipigia debe CCM?

Ccm inajipigia debe yenyew kwa maendeleo iliyoleta kama hujui we Endelee tu kuchota maji
 
Kama dalili za ukawa ni mgombea kunyea basi mmeshinda
lakin kama n kukubarika na wapiga kura
basi magufuli anaingia ikulu saa mbili asubuhi

Umepotea njia na unapoteza muda wko bila sababu
 
Back
Top Bottom