Dalili njema za CCM kushinda

Dalili njema za CCM kushinda

Jamani mwacheni,huyu analipwa kwa kazi hii.bali yeye binafsi na waliomwajiri kwa kazi hii wanajua dhahiri kwamba lowasa atachukua nchi.
 
Zumbukuku. Hapo kuna hoja gani ya kujenga sasa


wewe jamaa nafikili full time kichwa chako kimejaa viloba na majani.....kila thread unatukana na kuhemuka ni nini! taarifa ya kukimbiwa na watu mbeya ...umeanza kutukana.... viloba vibaya!!! hali yako itazidi kuwa mbaya...kuanzia jumatatu mashambulizi mapya ya kuwaangamiza yanakuja jiandae kisaikolojia....
 
Nawashangaa wanaokataa ushindi kwa ccm najua watakataa hata yatakapotangazwa

Wanaambiwa eti wapige kura na wasiondoke kituon
Watakapoanza kupigwa tu
Wale waliowaambia wasiondoke wao watakuwa hawapo hapo

Nan katuroga watz?
 
Mleta mada napata shida kuamini kama na wewe ni miongoni mwa wa wa darasa la saba wanaoiunga mkono CCM lakini kwa uandishi wako naelekea kuamini kwa Kuwa umelishwa maneno na kuyaweka kichwani kama yalivyo bila uchambuzi wowote na kudhani watu wote wapo kama wewe hilo ni kosa kubwa.

Nikajua baadhi ya bodaboda mmeelimika kumbe bado
Una huo upup- unaousema humu jukwaan

mpen kura magufuli
Atawavusha
 
CCM msijidanganye, Kila mtu anafahamu LOWASSA ndiye anayeungwa mkono na watanzania wengi. Hila zozote za kumpitisha MAGUFULI kimabavu zitapelekea machafuko makali nchini kuliko ilivyowahi kudhaniwa!Bora tufe kuliko kuendelea kutawaliwa na CCM.

Toileti bwana..



Siku hizi umekua bonge la nyumbu.

Lile nyumbu la mwanzo kabisa kwenye msafara
 
Leo nimewaza mengi sana, Nilipokua barabarani kwa mtogole pale nimekutana na kundi la watu wengi sana wamevalia mavazi mbali mbali ya kiyanga, ofcorse nimefurahi sana Yanga kushinda maanake watani wangu wanaongeaga sana, ila baada ya kupishana nao Moyo ukafanya "paaaa" yaani nikahisi Fisiem ndo imeshinda jamaa wanashangilia, Roho imeniuma kweli mpaka nimewaza niache kuishabikia YANGA IMARA, manake zile rangi zinaniumiza. Nikifanikiwa kuihama yanga nitarudi kwa timu ya taifa ya Brazil, wakibadilisha rangi tutarudi ushabikini.
 
Mwisho wa kufikiri.
Labda tuishukuru serikali ya FISIEM kwa elimu hii ya kuunga unga.
 

Attachments

  • katuni+itv+31+and+1feb+2011.jpg
    katuni+itv+31+and+1feb+2011.jpg
    41.2 KB · Views: 157
Dalili zote zinaonesha ccm kushindwa.
hapa lowasa tu
 
Utakuta huyu naye ni degree holder
 
Kwa mara ya kwanza ccm yajiandaa kuwa chama cha upinzani kilichosambaratika. Maana ccm imekosa mwenyewe imekuwa pango la walanguzi!

Hivi mtu akiwa ukawa kuna nn huwapa?
Maana akili zero kabisa

Anyway
Rais wako n magufuli
 
Dalili zote zinaonesha ccm kushindwa.
hapa lowasa tu

Kama dalili za ukawa ni mgombea kunyea basi mmeshinda
lakin kama n kukubarika na wapiga kura
basi magufuli anaingia ikulu saa mbili asubuhi
 
Back
Top Bottom