Dalili njema za CCM kushinda

Dalili njema za CCM kushinda

Tulime

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2015
Posts
248
Reaction score
104
japo mimi ni shabiki nambari one wa simba siwezi kuomba mabaya kwa yanga ,mfano leo yanga anakufa simba tutacheza na nani
ushindi huu wa yanga leo hii japo nimeumizwa ila naona ni dalili njema za ushindi kwa ccm,kwa sababu ccm ina rangi ya kijani na njano japokuwa si mahusiano ya kisiasa kati ya ccm na yanga ila ni dalili kuwa njano na kijani ni mwaka wao wa kushinda katika kila hatua ya kiushindani mwaka huu.

Kwa hali hiyo wale wenzangu na mie wajue kuwa ushindi wa kila namna mwaka huu ni wa kijani na njano,ccm inashinda na dalili zimeanza kuonekana hata kwa tafiti mbalimbali zilizotolewa kabla ya jana kuwa siku ya mwisho ya kutoa tafiti kwa mjibu wa sheria ya ne

Sina kinyongo na ushindi wa yanga na nasisitiza amani iendelee kutawala kwa maslahi mapana ya taifa letu.
Binafsi ntamchagua mwadilifu na mchapa kazi jp magufuli kuwa rais wa Tanzania.
 
japo mimi ni shabiki nambari one wa simba siwezi kuomba mabaya kwa yanga ,mfano leo yanga anakufa simba tutacheza na nani
ushindi huu wa yanga leo hii japo nimeumizwa ila naona ni dalili njema za ushindi kwa ccm,kwa sababu ccm ina rangi ya kijani na njano japokuwa si mahusiano ya kisiasa kati ya ccm na yanga ila ni dalili kuwa njano na kijani ni mwaka wao wa kushinda katika kila hatua ya kiushindani mwaka huu.
Kwa hali hiyo wale wenzangu na mie wajue kuwa ushindi wa kila namna mwaka huu ni wa kijani na njano,ccm inashinda na dalili zimeanza kuonekana hata kwa tafiti mbalimbali zilizotolewa kabla ya jana kuwa siku ya mwisho ya kutoa tafiti kwa mjibu wa sheria ya nec

sina kinyongo na ushindi wa yanga na nasisitiza amani iendelee kutawala kwa maslahi mapana ya taifa letu.
Binafsi ntamchagua mwadilifu na mchapa kazi jp magufuli kuwa rais wa tanzania.

Hivi utaelimika lini wewe
 
Naipenda Yanga na ni mshabiki wa damu,ila kwa CCM kushinda,HAIWEZEKANI!
 
hivi ukawa huwa hamna hoja ya kuchangia? Maana kazi zenu kutoa matusi tu na kulialia hivi ninyi wote ni watoto wa kike? Maana hata mwanamke hufikia kipindi anakuwa jasiri wa kujenga hoja na kupinga hoja kuweni makini mnashusha hadhi yenu

Zumbukuku. Hapo kuna hoja gani ya kujenga sasa
 
japo mimi ni shabiki nambari one wa simba siwezi kuomba mabaya kwa yanga ,mfano leo yanga anakufa simba tutacheza na nani
ushindi huu wa yanga leo hii japo nimeumizwa ila naona ni dalili njema za ushindi kwa ccm,kwa sababu ccm ina rangi ya kijani na njano japokuwa si mahusiano ya kisiasa kati ya ccm na yanga ila ni dalili kuwa njano na kijani ni mwaka wao wa kushinda katika kila hatua ya kiushindani mwaka huu.
Kwa hali hiyo wale wenzangu na mie wajue kuwa ushindi wa kila namna mwaka huu ni wa kijani na njano,ccm inashinda na dalili zimeanza kuonekana hata kwa tafiti mbalimbali zilizotolewa kabla ya jana kuwa siku ya mwisho ya kutoa tafiti kwa mjibu wa sheria ya nec

sina kinyongo na ushindi wa yanga na nasisitiza amani iendelee kutawala kwa maslahi mapana ya taifa letu.
Binafsi ntamchagua mwadilifu na mchapa kazi jp magufuli kuwa rais wa tanzania.

Safi sana wahi Korogwe kwa majimarefu umpe hii ramli
 
Ndio Tatizo la Washabiki Wa ccm Hamna Kitu Kichwani. Ngoja Lowassa Aingie Madarakani Mrudi Shule Mkasome Mwondokane Na Ujinga.
 
Yanga Walikuwa Wanaimba Hivii! Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Ccm Hongereni Yanga,sema Inauma Tumefungwa Kichadema!!
 
Kwa hyo unataka kusema...

Yanga mmetufungulia njia kwan trh km ya leo magufur ataatangazwa rasmi kuwa rais wa Tanzania

Acha hizo ww
 
Haifa ccm kila mwaka ugomvi NA madactari WA muhimbili
 
nashukuru kijana kukubali matokeo mapema na kuipa ushindi chama cha mapinduzi tungepata vijana wengi kama wewe nadhan nchi ingekuwa mbali ila naamin utawahamasisha vijana wenzako kujiunga na ccm kwa tutashinda kijana shutuka.....................................
 
Back
Top Bottom