Dalili kwamba umenenepa

Umesahau kusinzia hovyo, hii ni dalili kubwa pia.

Mtu unapiga nae stori mara unasikia mkoromo "kruu druu kruuu druuu".
 
nmecheka kwa nguvu

Sent from Nokia 7 Plus
 
Umesahau kusinzia hovyo, hii ni dalili kubwa pia.

Mtu unapiga nae stori mara unasikia mkoromo "kruu druu kruuu druuu".
,aisee
,kwamba "kruu druu-kruu druu".

Sent from Nokia 7 Plus
 
Halafu hili suala la unene linaongewa kirahisi sana na kila mtu.Utasikia punguza kula,Fanya mazoezi.

Kwanza kupunguza kula sio tiba ya kupunguza unene.

Na pili kufanya mazoezi hakusaidii kupunguza unene.

Unahitaji kujua ule nini na si suala la kula kidogo tu.Kazi ya mazoezi ni kuimarisha msuli wa mwili tu.

Katika kupunguza uzito,kuchagua aina ya chakula kunachangia kupunguza uzito kwa 70% na mazoezi ni 30% tu.

Unahitaji kujifunza kuhusu insulin resistance.Hii ikishatokea,huwa ni vigumu sana kupunguza uzito.Ila unatakiwa kujifunza kuishi na uzito mkubwa.

Ni somo refu nitaendelea Siku nyingine nikipata muda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana mtaalamu..tunatamani somo zaidi
Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…