Hapo ushaitwa big mpaka ukajishtukia
Hamna siyo kivile mkuu shida nipo uswahilini so ukitoka shavu kidogo tuu unaitwa umenenepa ili. Utwasikia wakisema " Naona mambo so mabaya...tupeane michongo...." Ukisema sina issue anakwambia hakuna mwili unaokuja bila kula vizuri...hahaaaaaa....
GeniousSili mchana siku hizi kukwepa maneno ya Mbona umenenepa sana..Kila ninaekutana nae hakuna kipya zaidi ya hilo swali
Sidhani Kama itakusaidia sana Mkuu. Mchana kula vizuri na pia kiwe chakula cha kushiba.... Usiku kula Matunda pekee .Sili mchana siku hizi kukwepa maneno ya Mbona umenenepa sana..Kila ninaekutana nae hakuna kipya zaidi ya hilo swali
Kisusio kipo Mkuu?!?!ngoja nimalizane kwanza na hizi mbuzi za mgombani huu uzi ntaurudia tarehe moja
Kipo cha hela yote mkuu sema mi muislamu stumiagi hizo mambo.Kisusio kipo Mkuu?!?!