Mimi ni kijana wa kiume nimetokea kuwa na urafiki wa karibu na Dada Mmoja {Normal Friend} ukweli sijawahi kumtongoza lakini nipo free kwake kumwambia kitu chochote,,lakini karibuni ameanza kuniambia personal issue nyingi ambazo naweza kusema ni ngumu kwa mwanamke kumwambia mwanaume wa kawaida,pia tunatoka pamoja,tunakula pamoja,lakini cha ajabu mpaka akitongozwa na Mtu huwa ananiambia na ananiomba ushauri,,,Ukweli nimeanza kuvutiwa naye but i respect her a lot.Je wana jamii naombeni msaada ni mambo ya kawaida au ni dalili za kupendwa?