Dalili 10 za mwanamke msaliti

Eti mwanaume anamuwakia mkewe kabisa eti sitaki uguse simu yangu ,
Hata ikiita namna gani iache hata ikipata moto ikibidi iungue,

Mke atakukubalia mdomoni lakini moyoni atajua lile unalojaribu kumficha,
Mwingine anaenda mbali kwa kujipa ahueni asipate jakamoyo kwa yeye kupata wa kumriwadha!

Halafu mara nyingi kwenye ndoa mwanamke wa hivyo yeye ndo anamuanza jamaa ambae mfano alimtakaga wakiwa chuo akamkataa,
Mdada wa watu baada ya kuolewa mwanaume wake anakuwa na njia za mashaka,
Mdada mawazo yanamjia jamaa ambae alimkataaga chuo, anaanza mawasiliano ya karibu baada ya hapo kifuatacho ITV kila mtu anaweza kutabiri
 
Toa ujinga wako hapa lofa ww
Usiguse simu yangu tena nitakutindua kama Vp na ww chepuka
Tulikutana ukubwan tafadhali tusisumbuane
 
Samahani naona ujumbe umejirudia jirua nazani kulikuwa na kosa la kiufundi
 
Ungemla tigo angetulia huyo, kuna brother wangu alipata kuniambia mwanamke wa hivyo hawezi kutulia hata umpige paipu kiasi gani, kwani kweli nyuma kunakuwa kunawasha, dawa yake ilikuwa umtindue na nyuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo sio suruhisho la kudumu.

Tulishapita huko kote tatizo liko pale pale.
Tuendelee kuvumiliana tu
 
Ukiona dalili saba kati ya hizo zimehusika kwa mwanamke wako acha kupoteza muda kufanya uchunguzi badala yake fanya maamuzi kusuka au kunyoa
 
Toa ujinga wako hapa lofa ww
Usiguse simu yangu tena nitakutindua kama Vp na ww chepuka
Tulikutana ukubwan tafadhali tusisumbuane

Tulia dawa ipate kuingia vizuri ili yamkini yaweza kukusaidia kupona
 
Unafanya Kazi bure tuu na dawa yako
Kuchepuka siachi ng'oo
Ukitaka ondoka au na ww chepuka

Inabidi tujifunze jinsi ya kuanzisha na kutunza mahusiano!
Kujua faida za kujitunza na kutulia na hasara za kutotulia ambazo mojawapo ni magonjwa, kusambaratika kwa familia na laana Yani kutofanikiwa kwenye mambo mengine!
 
Ukinipangia ratiba ya kugegeda unafikir ntaacha kuchepuka siwez vumilia nyege na ww upo unaninyima
 
Kaka utaumiza kuchwa tuu....mtu mzima na anatembea na mgodi wake katikati ya mapaja unategemea mcbimbaji uwe mwenyewe....hahahbaha
 
Ukinipangia ratiba ya kugegeda unafikir ntaacha kuchepuka siwez vumilia nyege na ww upo unaninyima

Na mpaka nikunyime itakuwa kuna mahala hujawajibuka ipasavyo!
Au umekosa kuwa na kiasi!

Chakula chafaa kuliwa kwa kiasi kiafya kuzidi kiasi ama mwingine atakinai au kuvimbiwa na hicho chakula!
Halafu ulafi ni dhambi!
Ndo maana mmeagizwa na Mungu kuishi na mke kwa AKILI na siyo amri, maguvu , ukali, maombi n.k
 
Ni
Nishakushukuru tayar maana nishachukua maamuz,hyo namba tisa n kwel keshanifanyia ila kubwa zaid n pale amekuja geto anamtumia jmaaa pesa ile wanaongea akawa anaongea saut ya chin jamaa kamuuliza mbona unaongea saut ya chin sanaa,ile kumuuliza ni nan mara anambie n mfanyabiashara mwenzake amemtumia hela ya usafir wakat hajawahi nambia kuwa anafanya biashara nliamua kujiongeza tu ma kusema hapa sina changu xo nkapiga chini
 
cocastic bby wangu usiwe hivi nitaishia kukuchoma Kwa mkaa

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…