Dalili 10 za mwanamke msaliti

Alooooo ! Kaka hiyo sms ingekuchanganya kweli. sms ingemchanganya mwanaume yoyote
 
Nina laini za voda 4,tigo 2,halotel 3,airtel 1,zantel 1 na ttcl 1 ila cha ajabu simu zangu hazina password na sina mchepuko. Je niko kundi gani au hii ni dalili ya nini?
Madam line zote za nn hizo? Au usalama wa taifa ww.
And tutajuaje kama huna mchepuko?
 
Mm nilikuwa na huyo mwenye namba 100. Kila mtandao yupo. Kila mtandao .kila nikimuuliza kwann una line nyingi na hauna kazi ..akawa ananipa visababu vya uwongo.
Nikawa napotezea, siku nikampiga ziara ya kushtukiza aisee.. kila line ina mpenz wake. Na simu niliyomnunulia ndio hiyo simu anachat nao. Nilimuonyesha tu kuwa nimejua alaf nikamuacha.

Mwenz wa tatu huu anapiga simu kuomba msaha. Kila siku sms za msaha haziishi.
 
ukweli kwa kiwango kikubwa sana, talking from experience
 
Pole sana kwa hayo masahibu
 
Mkianza kujadili dalili za mwanaume msaliti mniite nije kuwa mpenzi msomaji!
 
Kwa sehemu kubwa upo sahihi.
 
Ukiona kun namba inayompigia kila siku alafu haisaviwi kwa jina; anza kushtuka.

Katika vitu siwezi kuvumilia kuwa na mwanamke. Ni usaliti na dalili zozote za usaliti nitazifuatilia.
Nikigundua ukweli anatoka naye siyo hadi niwafumanie yaani ni kutemana fasta.
 
Ndo maana nawashauri wanaume, tusishindane na hivi viumbe... after all vipo vingi..hata 'ukikaze' namna gani kikiamua kutotulia kitatoka tu.
Kweli kabisa.
Hakuna haja ya kushindana nao. Ukiona haelekei piga chini tu wengine wana nyota ya kutangatanga hapa duniani.
 
Point

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…