Dalalitzee Street........Asante ni Watanzania.

dalalitz

JF-Expert Member
Sep 6, 2013
3,339
1,873
Ni katika kutambua na kuenzi Kazi nzuri inayozingatia huduma bora, Wakati na Uaminifu mkubwa.

Watanzania jijini Dar es salaam hatimae waamua kuupa Mtaa jina la Dalali mzoefu na wa siku nyingi anaendesha shughuli zake kisasa, Almaarufu Dalalitzee.

Kwa mahitaji yako yote yanayohusu
Kupanga/Kununua/Kuuza :
-Nyumba,
-Ofisi
-Viwanja
-Mashamba nk.

Pia Migodi,
Vito (Gemstones),
Pamoja na Dhahabu ghafi
(Raw Gold)

Pia Biashara na Mali yoyote na mahali popote Tanzania.

Mawasiliano:
Piga/WhatsApp:+255-714-591548.

Nawasilisha.

P. S.
Nasema, ang'oe Mtu Hilo Bango atanijua mimi nani.
 
Attachments

  • PhotoGrid_1498560676783.jpg
    PhotoGrid_1498560676783.jpg
    57.3 KB · Views: 36
Hicho kibao ni photoshop au? Mbona eneo ni lilelile kwa picha zote tatu!!!
Ndo mana nkamuliza huyu dalalitzee aliyejifanya mtaa kupewa jina lake, alikuwa hajaona hawa kina mange na masoud walijitengenezea same kibao iweje yy aje adanganye kuwa mtaa umepewa jina lake?
 
Ndo mana nkamuliza huyu dalalitzee aliyejifanya mtaa kupewa jina lake, alikuwa hajaona hawa kina mange na masoud walijitengenezea same kibao iweje yy aje adanganye kuwa mtaa umepewa jina lake?
we nae mbona mshamba sana...kwani mange na masoud huo mtaa ni wao??? hizo ni editings tu,mbona watu kibao wameandika majina yao na wamepost huko...ukitaka hata wewe weka lako...
 
we nae mbona mshamba sana...kwani mange na masoud huo mtaa ni wao??? hizo ni editings tu,mbona watu kibao wameandika majina yao na wamepost huko...ukitaka hata wewe weka lako...
Mshamba mwenyewe, hivi ushaacha kuuza dagaa Siku hizi? By the way hujui kusoma na kuelewa mambo nimemuliza huyo anayejinadi mtaa wa kwake swali ili ajue walioedit ni wengi coz yy kapost kwa maelezo kuwa ni mtaa wake, afu jitahid ulale uwahi wateja wako kesho,mshamba mkubwa ww usiyejua kusoma na kuelewa mambo
 
we nae mbona mshamba sana...kwani mange na masoud huo mtaa ni wao??? hizo ni editings tu,mbona watu kibao wameandika majina yao na wamepost huko...ukitaka hata wewe weka lako...
Yaani nawaza siku nikijichanganya kuingia kwenye anga zako nafwaaaz kwa kichambo chako
 
Ikitokea kikawekwa kibao cha mtaa wa Mange Kimambi basi wakazi wote wa mtaa huo watakua washilawadu tupu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom