I Isaac Noel Member Joined Aug 23, 2021 Posts 8 Reaction score 11 Apr 5, 2022 #1 Nnashida na dalali wa kazi dar es salaam. Namba zangu n 0744971153
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,233 Reaction score 193,148 Apr 5, 2022 #2 Ngoja waje kukupa muongozo...
D DENAMWE JF-Expert Member Joined Dec 29, 2019 Posts 867 Reaction score 884 Apr 28, 2022 #3 Nataka kufanya kazi ya dalali wa viwanja, nyumba, vitu kama baiskeli, gari, pikipiki, vifaa vya nyumbani nk. Naomba kufahamishwa taratibu za kufuatwa za kiserikali na gharama zake.
Nataka kufanya kazi ya dalali wa viwanja, nyumba, vitu kama baiskeli, gari, pikipiki, vifaa vya nyumbani nk. Naomba kufahamishwa taratibu za kufuatwa za kiserikali na gharama zake.