Dalali ameniibia sh 10,000,sio ustaarabu lakini

Dalali ameniibia sh 10,000,sio ustaarabu lakini

nipo online

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2022
Posts
1,379
Reaction score
3,152
nimemaind sana, nimempa laki 1 net ili akampe mwenye nyumba, badae nampigia kama alishampa anasema ndio nimempa 90 nikauliza mara mbili nilijua amekosea,

anadai haikutimia et

jamaa nilimwamini tumezunguka sana hii jioni kutafuta chumba hatimae tukapata.
nimetoa kwa wakala nikamkabidhi laki net,

badae a kaniambia nimpe 2000 ya kutolea ili amtumie mwenye nyumba nikamjib sina akasema sawa.

my take jamaa kaonesha udhaifu mapema sana, ni mteja wangu salon ila kwa hili siwezi mwamini tena.

natakiwa niongezee elf 10 halaf saiv sina. daah. ubinadam kazi katika chombo chake cha usafiri kaandika mistari ya biblia nikajua mcha Mungu.
 
Duh Pole Mkuu udalali kazi ya laana.. Leo akibahatisha laki moja kesho anaomba buku mbili ya kula.. Sababu ya dhulma..
 
Udalali ni nuksi na mikosi,, ,,, wanakula vya bure visivyo na jashoh, ndio maana wengi wao hawana maendeleo,,,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom