Ronzobe B29 JF-Expert Member Joined Jul 8, 2017 Posts 242 Reaction score 90 Oct 31, 2017 #1 Ndugu dalali husika na kichwa tajwa hapo juu Nakuomba uje PM au hapa hapa maana wenye uhitaji huenda tukawa wengi chumba kiwe karibu na chuo.
Ndugu dalali husika na kichwa tajwa hapo juu Nakuomba uje PM au hapa hapa maana wenye uhitaji huenda tukawa wengi chumba kiwe karibu na chuo.
reyzzap JF-Expert Member Joined Oct 3, 2014 Posts 6,828 Reaction score 21,938 Oct 31, 2017 #2 Nipo hapa, m nishamalza ila nakuunganisha na mdau utakutana nae, unapata chumba camp d pale pua na mdomo, ukileta ujuaji utakaa magengeni au mirembe nifuate pm
Nipo hapa, m nishamalza ila nakuunganisha na mdau utakutana nae, unapata chumba camp d pale pua na mdomo, ukileta ujuaji utakaa magengeni au mirembe nifuate pm