BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,511
- 14,133
Wazungu walisha tu brain wash sana, sitetei Dalai lama ila, kwa Tibeti hana kosa, kosa lake ni nje ya Tibet, hasa sisi huku.Huyo mzee kashafika umri wa turning point. Umri huo akili yake haina tofauti na ya binti yangu alipokua na miaka 5.
mbona anaomba radhi sasa kama ni utamaduni wao?Baada ya hii kisanga nilikutana na mjadala kwenye moja ya mtandao na ikabidi sasa niingie kusoma nikakuta ni utamaduni wao
Soma hicho kipande au google,mbona anaomba radhi sasa kama ni utamaduni wao?
hebu tufanye anakupiga mate wewe,yeye kwake ni utamaduni wewe je?
Shida mnawaza kwa kutumia utumbo mpana, ndio shida, na kwa sababua habari ni za kutoka kwa Wazungu lazima mzipe uzito wa kutoshambona anaomba radhi sasa kama ni utamaduni wao?
hebu tufanye anakupiga mate wewe,yeye kwake ni utamaduni wewe je?
Ameomba radhi mda huu ila nimeamini hii vita ni ngumu mno mungu tu atuepushe.
Sijaona Cha ajabu hapoKiongozi wa kiroho kutoka Asia ya mbali amejikuta katika aibu ya kumnyanyasa mvulana
Kiongozi huyo ambaye kwa miongo mitano amekuwa mwenye ushawishi duniani mkanda wake wa video umevuja akilazimisha mvulana amlambe ulimi
Dalai Lama ana miaka 85
View attachment 2583202
Credit: CNN
Balaaaaaa
Mkuu; Mbona sijaona cha ajabu hapo?. Hivi Inakuwaje mara nyingi kila kitu/tukio baadhi ya watu wanakimbilia kulihusisha na unyanyasaji, udhalilisha au Habari za wazungu?Kiongozi wa kiroho kutoka Asia ya mbali amejikuta katika aibu ya kumnyanyasa mvulana
Kiongozi huyo ambaye kwa miongo mitano amekuwa mwenye ushawishi duniani mkanda wake wa video umevuja akilazimisha mvulana amlambe ulimi
Dalai Lama ana miaka 85
View attachment 2583202
Credit: CNN
Nakazia. Hakuna cha Ajabu hapo. Ajabu ninayoiona ni kwa mwenye thread kusema .... aibu ya karne.... Mila na Desturi za kwako usiwalazimishe wengine wazifuate.Sijaona Cha ajabu hapo
Kaomba msamaha kwa kutokana na jinsi tukio lilivochukuliwa i.e.Tafsiri ya watazamaji na sio kwa kitendo hicho alichofanya na inaweza kuwa alishafanya hivyo hivyo mara nyingi na kwa wengi. Sasa leo imefika kwa wasio na Utamaduni huo (wabongo n.k.) imekuwa nongwa. Kwa mantiki hiyo ameomba Radhi kwa Nongwa (maudhi) na wala sio kwa kitendo chake.Sasa mbona kaomba msamaha ama we unawajua watibet kuliko Dalai Lama????
Hata mm nimeangalia kwa makini sana lakini sijaiona hiyo inayoitwa aibu ya karne.
Aibu ya kitu gani? Kama ni jambo baya mbona huyo mvulana hakuonesha kukereka au kutokumkubalia? Mbona watazamaji (audience) waliokuwepo hawakuonesha upokeaji Hasi wa tukio hilo??Dah! Lizee bila aibu....
Soma hicho kipande au google, View attachment 2583221
Aibu ya kitu gani? Kama ni jambo baya mbona huyo mvulana hakuonesha kukereka au kutokumkubalia? Mbona watazamaji (audience) waliokuwepo hawakuonesha upokeaji Hasi wa tukio hilo??