uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,041
- 8,636
Aibu gani? Kwa wa Tibeti huo ni utamaduni wao wa kubusiana ndimi, soma kwanza kulilo kujikita kwenye propaganda za WazunguKiongozi wa kiroho kutoka Asia ya mbali amejikuta katika aibu ya kumnyanyasa mvulana
Kiongozi huyo ambaye kwa miongo mitano amekuwa mwenye ushawishi duniani mkanda wake wa video umevuja akilazimisha mvulana amlambe ulimi
Dalai Lama ana miaka 85
Credit: CNN
Ameeen🙏🙏🙏Ameomba radhi mda huu ila nimeamini hii vita ni ngumu mno mungu tu atuepushe.
Mkuu wa Tibeti hio ni moja ya Salamu zao, za enzi na enzi, jaribu kusoma utamaduni wa wa Tibet, utaelewa kwamba kwa utamaduni wao sio kosa, Shida sisi waafrica ni wavivu wa kusomaAmeomba radhi mda huu ila nimeamini hii vita ni ngumu mno mungu tu atuepushe.
Waafrica bhana tuna matatizo hayo mambo wenzetu kupeana mabusu yapo sana haswa kweny mikono kama upendo kawaida .Mkuu wa Tibeti hio ni moja ya Salamu zao, za enzi na enzi, jaribu kusoma utamaduni wa wa Tibet, utaelewa kwamba kwa utamaduni wao sio kosa, Shida sisi waafrica ni wavivu wa kusoma
Sasa mbona kaomba msamaha ama we unawajua watibet kuliko Dalai Lama????Mkuu wa Tibeti hio ni moja ya Salamu zao, za enzi na enzi, jaribu kusoma utamaduni wa wa Tibet, utaelewa kwamba kwa utamaduni wao sio kosa, Shida sisi waafrica ni wavivu wa kusoma
Alimuomba amnyonye ulimi, si kweli kiwa huo ni utamaduni wa kitibet kunyonyana ndimi. Kukusaidia tuu kuelewa, Dalai lama mwenyewe katika tamko lake la kutaka radhi anasema alikuwa akimtania mtoto huyo.Aibu gani? Kwa wa Tibeti huo ni utamaduni wao wa kubusiana ndimi, soma kwanza kulilo kujikita kwenye propaganda za Wazungu
Kwa sababu inasambaa Duniani, ambako utamaduni huo haupo, mbona BBC wamelezea vyema kwamba pamoja na hivyo lakini kwa Tibeti ni sio kosa,Sasa mbona kaomba msamaha ama we unawajua watibet kuliko Dalai Lama????
Umesikiliza BBC? au unabisha so elezea utamaduni wao wa kunyonyana ulimi unavyo kuwa aplied basi, elezeaAlimuomba amnyonye ulimi, si kweli kiwa huo ni utamaduni wa kitibet kunyonyana ndimi. Kukusaidia tuu kuelewa, Dalai lama mwenyewe katika tamko lake la kutaka radhi anasema alikuwa akimtania mtoto huyo.