Kumbe chips ni viazi!
kamjingimjingi
kamjingimjingi
Ya Feisal
Ya Feisal
Jamani vp jpili inasemaje?
tuichangamshe siku yetu kwa kujikumbusha yale maneno yanayoandikwa nyuma ya dala dala zetu, vipo vijineno fla fla na mafumbo mbali yanafuraisha yanaandikwa nyuma ya daladala zetu.
*mganga haagizi mchicha.
*hapa stori tu kula kwenu.
*..........
haya ni bahadh tu mengine nikumbusheni nyie wenzagu.
Jumapili njema!.
*mganga haagizi mchicha.
*hapa stori tu kula kwenu.
*..........
...kudadeki nipo kwenye hiace imejaza...kunajamaa kainama makalio yake puani kwangu....
....cjui imeandikwaje. Nkishuka nasoma....