Haya! wenye daladala 1moja turudie kazi zetu za zamani,wezi,wastaafu jeshini,polisi,serikalini nk.biashara ya daladala sahau,fikiria kitu kingine au rudia ajira yako ya zamani,bakheresa yeye ameshaagiza bus zake mia...hakuna mswahili atabaki...tusubiri tuone..nchi ina wenyewe jamani!!!