Daladala za Zenji

Daladala za Zenji

Hizo daladala hata huku bara zilikuwepo miaka ya nyuma, kizazi hiki cha fb, instagram na whatsapp hawazijui!
Tena bodi zake alitengeneza baba yake yusuf manji
 
Wanaruhusiwa kusimamisha abiria? Maana sioni aliyesimama kati atashikilia wapi. Na je wamezuiwa kutumia mabasi? Je kwa wamiliki wa hizo biashara ipi ni faida kwao kutumia hizo canter au bus ?
Hawasimami ila pale kati ambapo pako wazi gari ikijaa wanachuchumaa
 
18ba230367e40f7163050ac4a19a8383.jpg
Duh jamaa wanatumia Chai Maharage mpaka miaka hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku za sikukuu hadi cary vile vi isuzu keri vinapakia abiria.
 
Wanaruhusiwa kusimamisha abiria? Maana sioni aliyesimama kati atashikilia wapi. Na je wamezuiwa kutumia mabasi? Je kwa wamiliki wa hizo biashara ipi ni faida kwao kutumia hizo canter au bus ?
Abiria wanazidishwa Ila hawasimami wanachuchumaa hapo kati. Kuhusu kwanini Canter na sio basi, sababu niliyopewa ni kuwa Canter zinaweza fungashwa mzigo wa kutosha juu kuliko vipanya au coster maana hayo magari (chai maharage) yanapiga ruti za shamba.

N.B: coaster pia zipo hasa ruti za kaskazini.
 
Hiyo ya kuchuchumaa nayo ni mpya ,ninmekumbuka mabasi ya mikoani kuchuchumaa mnapofika mizani au kwa trafki ,hahahaha
 
Back
Top Bottom