Daladala za Arusha zagoma

Wale watu waliokua wanachezea jina la Arusha, kuwakejeli machalii huko, kumdhihaki Kamanda Lema na kukipigia Upatu Uwezo wa CHADEMA katika Jiji hili na mikoa kadhaa ya jirani sasa mtajua kwamba kumbe kweli WANANCHI tumekichoka Chama Cha Magamba kwa kiwango gani hicho.

Wanaapolo Arusha, vita mbeele kwa mbele mpaka ukombozi wa nchi utakapopatikana kupitia Jiji la Kitalii hili la Arusha.

kuna tetesi kwamba kuna maandamano ya vijana wa chadema mjini arusha na polisi wanapiga mabomu ya machozi kuwanyamazisha mwenye taarifa zaidi naomba utujuze zaidi
 
imetokea mida gani mzee?
 
Trafiki alikuwa anafanya nini hapo kwenye mgomo au alikua anafuata chenchi yake kwa dereva? Hiyo ndio arusha yetu bwana
 
Watanzania tujifunze kuijua kweli na kutatua matatizo,tuache visingizio.
 
Kuhamisha mikutano iliyokuwa ikifanyika arusha ni JK kutaka kuwakomoa, wala si suala la amani; ni katika ile falsafa ya ccm kuwa kila penye mpinzani basi ikiwezekana maendeleo yadorore; wanasahau kuwa watu hao wanalipa kodi kama wengine. Kumbuka ule esemi wa Sumaye kuwa ukitaka kufanikiwa basi pandisha bendera ya ccm.
Kwa hakika hatafanikiwa, arusha inajiuza yenyewe na utalii wake, na sasa ameongezeka babu; sisi tumempuuza kenya 'wakamchukua'.
Wasisahau kuwa mpinzani wa wazi wa mwalimu Nyerere ambaye hata yeye alimkiri, alitokea arusha -Salwatt. Hivyo upinzani arusha haukuanza leo!
 

Hilo unalo lisema ni kweli kabisa hata Mahotel mengi yameliona hilo ukiwauliza watu Serikali watakupa Political Answer kuwa tumeanza kuufanya Mji wa DODOMA kuwa Makao Makuu tooo late siku zote hamkujua Hilo????

Ukiangali Serikali yetu inaongozwa na Gutter Politics tuu hakuna lolote hawa viongozi wetu wao ni CCM First na sio Country First wananishangaza sana wananchi kipindi hiki ndio wamamuka kisiasa na wama upeo mkubwa na serikali ndio kabisa haisomi alama za nyakati kabisa ina kuwa hohae no vision kabisa, HQ ya EAC iko Arusha kwanini Mwende Dar ingekuwa Kenya wakaenda Mombasa sitojali kwani mombasa ni mji tu kama miji mingine ila kama mikutano itafanyika Kenya ila Mkija Tanzania huku mwajua HQ ya EAC iko Arusha kwanini Mkimbilie DODOMA au DAR any concrete reason n o none zero. Kwa hiyo wananchi walio ichagua CDM wakiwemo na wengi wao ni CCM sio wananchi au nchi bado ina sera za Chama kimoja ila kumepachikwa sera za uzushi ila mataifa na ulimengu kwa ujumla ijue at tuma democrasia?
 
tafazali kama huna uhakika na unachokisema basi usiwadanganye watu utawadanganya watu wengi kwa wakati mmoja lakini uwezi kuwadanganya watu wengi kwa wakati uleule tuwe wakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…