Daladala wagoma Mwanza

Sungurampole

JF-Expert Member
Nov 17, 2007
984
205
Wanadai 250/= haitoshi mafuta yamepanda. Abiria wanatembea na kutumia bodaboda na pick ups. Watu wamejaa vituo vya basi
 
Ungetupia na picha kabisa mdau ingependeza. Hivi hawa sumatra na ewura wapo kweli au? Maana mi naona wenyewe wanapanga tu nauli wanavyojiskia hawaangalia bei ya mafuta wala bei ya spare ziko vipi. Kwa hali hii hawa jamaa wa daladala kiukweli wanaumia. Acha wagome tu.
 
wampeleke TAMBWE HIZA au MAKAMBA media akaseme mgomo umechochewa na Chademe.
 
katika kile kinachoonekana wamiliki wa daladala kushinikiza ongezeko la nauli. Leo usafiri Mwanza umekuwa wa taabu asubuhi. wapiga debe wamekuwa wakishinikiza madereva kutosimama vituoni. Kwa kifupi hali ya usafiri leo imekuwa kero kabisa
 
Wadau nilipata híi nikiwa njiani kwenda airport watu wanaotembea ni wengi sana.

MDAU ALIYE MWANZA ATUJUZE ZAIDI-inavyoendelea plz
 
Madereva wa daladala mkoani mwanza wamegoma kuendesha vyombo hivyo vya usafiri wakidai ongezeko la nauli kutokana na ongezeko la mafuta. Kutokana na hali hiyo usafiri wa pikipiki maarufu kama bodaboda umeshika kasi katika maeneo mbalimbali ya jiji. Kila kona unayopita hivi sasa unakutana na msururu wa pikipiki.
 
Madereva wa daladala jijini mwanza leo wamegoma kutoa huduma hiyo wakidai ongezeko la nauli. Mgomo huo umesababisha adha kubwa ya usafiri jijini hapa. Mji mzima mwanza leo umepambwa na usafiri wa pikipiki kila mahali
 
Nikweli wamegoma na ktk jiji la mwanza na vitongoji vyake leo kuna usafir wa bajaj za mizigo,pic up,na pikpik,naul ktk pic up na bajaj zamzigo ni 500,
kituo hadi kituo,jamaa wa bajaji wamefurahi sana leo wanaomba mgomo wa daladala uendelee hata wiki nzima,ama kweli vita ya panzi ni neema ya kunguru,wakuu narekebisha hapo nauli ni sh 500 kwa huo usafiri wa shida unaopatikana leo jijin mwanza.
 
Nikweli wamegoma na ktk jiji la mwanza na vitongoji vyake leo kuna usafir wa bajaj za mizigo,pic up,na pikpik,naul ktk pic up na bajaj zamzigo ni 500,
kituo hadi kituo,jamaa wa bajaji wamefurahi sana leo wanaomba mgomo wa daladala uendelee hata wiki nzima,ama kweli vita ya panzi ni neema ya kunguru,wakuu narekebisha hapo nauli ni sh 500 kwa huo usafiri wa shida unaopatikana leo jijin mwanza.

duh tight mbaya mie niko nyakato national mambo magumu usipime:sad:
 
Magari al maharufu kama daladala zimegoma kufanya kazi,zikiwaacha wananchi wakitaabika na kutanganga mijini,yet i dont know what exactly is the case! Guys what gives??
 
avatar31225_1.gif
Tanzania Tanzania Nakupenda kwa moyo wote, nchi yangu Tanzania jina lako lilikuwa tamu sana enzi hizo. Sasa limekuwa chungu kama shubiri. Hapo viongozi wa CCM watasema tena kuwa CDM ndio waliowashauri watu wa dala dala kugoma
 
Sasa kinachokuja ni hali ngumu, tena ngumu sana. Maana mti mkubwa unapoanguka vimiti vidogo pia huanguka na mara nyingi hutangulia. Hivyo tegemeeni makubwa miaka hii mitano maana ccm inaanguka.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom