Daladala Mbeya zagoma, wananchi walia nauli kupanda

Daladala Mbeya zagoma, wananchi walia nauli kupanda

Kupanda kwa bei ya mafuta hususani petroli, makali yameanza kung'ata jijini Mbeya baada ya usafiri wa daladala kuweka 'mgomo' kutoa huduma huku wananchi wakilia na nauli za bajaji zilizofikia Sh2,000 kutoka Sh800 za awali.

Mbali na wananchi, wapiga debe nao wamepaza kilio chao wakieleza kuwa hawaelewi hatima ya maisha yao kwa kuwa riziki zao zinategemea zaidi uwapo wa daladala wakiomba Serikali kukaa na wamiliki wa vyombo vya moto kulimaliza ili shughuli ziendelee.

Bei ya lita moja ya mafuta kwa Jiji la Mbeya Machi iliuzwa Sh2,996 na sasa imefika Sh3,952 kwa lita moja, hali ambayo imeonekana kutesa wananchi ambao leo baadhi yao wameamua kutembea kutokana na daladala kutotoa huduma na kiwango kipya cha nauli.

Kutokana na huduma ya usafiri wa daladala kukosekana, baadhi ya usafiri uliotumika ni gari dogo aina ya Noah, guta huku bajaji nazo zikitumika kutoa huduma kwa bei zaidi ya ilivyokuwa awali.

Wakizungumza leo Aprili 2,2026 baadhi ya madereva wa bajaji wamesema wamefikia hatua ya kupandisha bei ya nauli kutokana na bei ya mafuta kupanda tofauti na ilivyokuwa awali , huku madereva wa daladala wakiomba kupandisha hadi Sh1,500.

Akizungumzia changamoto hiyo, Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Solomon Itunda, amesema anaendelea na kikao cha wadau wote wa usafirishaji jijini humo, akifafanua kuwa baada ya mazungumzo ya pande zote Serikali itatoa msimamo na utaratibu kwa ujumla.

"Nipo kwenye kikao na wadau wote wa usafirishaji wakiwamo daladala, bajaji, gari kubwa na wengine wote, hivyo tukimaliza Serikali itatoa utaratibu kumaliza tatizo hili" amesema Itunda.

Huo Mkoa una watu wapumbavu sana na wanaojionaga wajuaji kumbe punguani tuu.

Wenyewe ni kina nani ambao watake nauli zipande wakati sehemu zote za Nchi wanatumia nauli za zamani?

Wakati bei imeshuka nani alikuwa anafaidika na punguzo Hadi saizi waje na huo usenge wa kutaka nauli eti iwe buku jero?

Wasiporudisha magari barabarani futa leseni
 
Huo Mkoa una watu wapumbavu sana na wanaojionaga spesho.

Wenyewe ni kina nani ambao watake nauli zipande wakati sehemu zote za Nchi wanatumia nauli za zamani?

Wakati bei imeshuka nani alikuwa anafaidika na punguzo Hadi saizi waje na huo usenge wa kutaka nauli eti iwe buku jero?

Wasiporudisha magari barabarani futa leseni
[wakifuta leseni je wewe utaleta magari yako ambayo utapokea iyo nauli ya zaman?]
 
Kuzaliwa popote tu ni changamoto labda tu itokee uzaliwe kwenye Royal family angalau inaweza kupunguza maumivu na mateso ya heka heka tunazo pitia binaadamu duniani maana maisha yamejaa mateso sana

Mfano mdogo umeona kama Israel ni Nchi ambayo Ina mifumo safi siasa safi za ndani ya Nchi wananchi walikuwa wanakula Bata lakini wanasiasa wameleta choko choko now Nchi inawaka moto raia wanaishi Kwa hofu huku wengine wakifikwa na umauti

Ndio maana nasema kuzaliwa duniani ni upumbavu haya unaweza kuwa unatoka kwenye Royal family lakini ukaja kukutana na kilicho mkuta manji kuzaliwa ni upumbavu pia unaweza usikutane na kilicho mkuta manji au kinacho wakuta Israel na Iran still ikatokea tetemeko la Ardhi Likakuua wewe na family Yako nzima kuzaliwa ni upumbavu mtupu
Very true
 
Back
Top Bottom