Daladala kukatisha route

Sultan Kipingo

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
238
178
Wakuu kuna tabia ya daladala zinazofanya safari kati ya Ubungo - mawasiliano na Mlandizi/Msata zinapokuwa zikirudi Dar zinaishia Ubungo mataa pale na hazifikishi abiria mawasiliano.

Naomba kufahamu ikiwa kabla ya kupanda konda kasema gari linafika mawasiliano na lisipofika natakiwa kuchukua hatua gani nikiwa mmoja wa abiria wanaotakiwa kufika mawasiliano?

Maana si mara moja au mbili nakutana na hili lakn nakosa cha kufanya.
 
Back
Top Bottom