Jamani hebu nisaidieni...
Mwenzenu leo asubuhi wakati niko njiani nikaona hii gari ikiwa mbele yangu, niliipenda jinsi ilivyo, rangi na graphic zake, lakini kilichonishtua zaidi ni kumuona mtu kama BI KIROBOTO(wa mizengwe) akiwa kama konda wa hii basi, sikukielewa kabisaaaa...!
Mwenye kujua tafadhali hebu nisaidieni, plz check attachement :confused2::confused2::confused2: