Scorpio Me JF-Expert Member Aug 2, 2016 6,119 7,933 May 28, 2017 #5 Joseverest said: Daaah tukaribishe mkuu Click to expand... ndo umeamua kunikimbia kule we katoto ka chugga
Joseverest said: Daaah tukaribishe mkuu Click to expand... ndo umeamua kunikimbia kule we katoto ka chugga
Ramea JF-Expert Member Mar 19, 2015 2,146 4,083 May 28, 2017 Thread starter #6 Galapagosi said: Wapi hiyo mkuu tujongee Click to expand... Hiyo kitu ilipigwa safarini. Hizo sahani zipo juu ya pikpiki boxer wenyewe tulisimama. Safari ikaendelea.
Galapagosi said: Wapi hiyo mkuu tujongee Click to expand... Hiyo kitu ilipigwa safarini. Hizo sahani zipo juu ya pikpiki boxer wenyewe tulisimama. Safari ikaendelea.
Galapagosi JF-Expert Member Apr 21, 2017 2,848 2,635 May 29, 2017 #8 Ramea said: Hiyo kitu ilipigwa safarini. Hizo sahani zipo juu ya pikpiki boxer wenyewe tulisimama. Safari ikaendelea. Click to expand... Hiyo hatari mkuu
Ramea said: Hiyo kitu ilipigwa safarini. Hizo sahani zipo juu ya pikpiki boxer wenyewe tulisimama. Safari ikaendelea. Click to expand... Hiyo hatari mkuu
Fursa Pesa JF-Expert Member May 30, 2012 4,631 3,527 May 29, 2017 #9 Hao si ni walevi wanakula nguruwe bar? Au macho yangu hayaoni vizuri?