Daktariii.....

Moo Click

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
3,496
3,233
_*Kuna mgonjwa Wa matatizo ya akili kwenye Hospitali ya Mirembe alimkimbiza daktari huku ameshika kisu kikali. Daktari alikimbia sana huku akiwa na hofu kuu. Hatimaye, akafika mahali ambapo hakukuwa na njia ya kupita, akapiga magoti na kusema sala ya mwisho.Yule mgonjwa akamkaribia kabisa na kumwambia....Ni zamu yako sasa... Nikimbize..*
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…