Daktari wa ugonjwa wa kisukari

Daktari wa ugonjwa wa kisukari

wakuu, naomba mwenye kujua hospitl,dr mzuri wa ugonjwa wa kisukari mama yangu anasumbuka sana na huu ugonjwa wakuu.
Mkuu pole sana kwa mama yako kusumbuliwa na huo ugonjwa wa kisukari .Lakini nijuavyo mimi hakuna dawa ya Hospitali itakayo weza kumponyesha mama yako kwa huo ugonjwa atatumia sindano za kujichoma au vidonge katika maisha yake yote mpaka mwisho wa umri wake na sio rahisi kupona kwa kutumia hizo dawa nilizo kwambia. Ila kuna dawa za asili aka dawa za mitishamba zenye uwezo wa kumponyesha maradhi yake mama yako akimpata mtu wa kuweza kumtibia kwa dawa za asili atapona maradhi yake ya kisukari mama yako.Auguwa pole mama yako mkuu.
 
We mzizi mkavu nahisi umeanzisha hii mada kupiga upatu wa biashara...
NAMJIBU ALIYEANZISHA....SUKARI KAMA UGONJWA NI UGONJWA WA LISHE ULAJI WA VYAKULA VYA WANGA NA SUKARI...SASA **** BAADHI YA BINADAMU VIUNGO VYA MWILI KUCHAKATA HIO SUKARI HUWA VINAFAIL KWA HIO INABIDI UANZE KUICONTROL KWA KEMIKALI AMBAZO NI SINDANO NA DAWA...AMBAYO PIA NI BIASHARA KUBWA YA TIBA HUKO ULIMWENGUNI ...UGAIBUNI...WASICHOTAKA KUWAFUNZA MADOCTA AU MADOCTA WASICHOTAKA KUAMINI NI UZOESHI WAO WA KULA WANGA NA SUKARI...TIBA SAHIHI HAKUNA CHA KEMIKALI WALA.MITISHAMBA NI KUBADILI LISHE ...MAMA NDUGU YAKO ATAPONA AU MWENYEWE UTAKUWA SALAMA AJABU...ACHA WANGA NA SUKARI ...KWA MSAADA ZAIDI TAFUTA KITABU CHA DR.BOAZ MKUMBO...SAYANSI YA MAPISHI.... SOMA GGOOGLE VYAKULA VYA MAFUTA NA PROTEEN FAIDA ZAKE KWA WATU WENYE SUKARI NA OBESITY AU UZOTO MKUBWA...UKIWEZA KUACHA KABISA WANGA NA SUKARI UMEPONA JUMLA....NIMEANDIKA KWA HERUFI KUBWA UELEWE..USIKIE..KAMA UNA SHIDA KWELI JAPO ni ngumu sana kufuta hio mind set ya wanga kwa mwafrika mimi ni shahidi kwangu mwenyewe na familia yangu ...kuna vitabu viwili kitambi cha wanga na magonjwa lishe ...dr.boaz na hicho nilichoandika hapo juu... ukishindwa anafundisha kwa malipo kwa group whatsapp mtafute insta...ila nakushauri kitabu kinatosha..
 
...Mkuu Shanature, Umemhisi Mkuu Mzizimkavu kuwa anapigia debe biashara take ya Tina asili....lakini nawe umepita humor humor mwa kupigia debe vitabu vyako ambavyo pamoja na maelezo mengi nano ninaona vinapita humo humor mwa kupigia debe Tina asili kwa ugonjwa was kisukari....![emoji15][emoji15]
 
Mkuu Mimi Sijapiga Debe dawa za Asili mimi nimetoa ushauri wa mgonjwa wa kisukari. Mkuu@shanature Hajanielewa kabisa lengo langu nimekusudia nini? Unamshauri mtu aache kula vyakula vya Mafuta na Protein wakati mtu ameshapatwa na maradhi ya kisukari?Je itawezekana kweli kupona?
 
Kwwn mpaka sasa Mama hayupo katika kiliniki ya Kisukari??

Hamna dawa ya Hosp ya kuponyesha kisukari, badala yake ni kutumia dawa izo maisha yake yote TENA ATUMIE KWA UFASAHA SANA .

Kisukari ni kibaya .

Lkn pia wakati akiendelea na dawa izo, ni vema ajaribu mitishamba , mfano Juisi ya Ukwaju .
 
... Kwa hiyo Mkuu Carlos, ni official kabisa sasa kwamba hakuna dawa ya Hosp ya kuponyesha kisukari?? Kwamba hizi za Tiba asili zinaweza kukuponyesha kabisa, ama nazo in kukupa nafuu tu??
 
Mkuu pole sana kwa mama yako kusumbuliwa na huo ugonjwa wa kisukari .Lakini nijuavyo mimi hakuna dawa ya Hospitali itakayo weza kumponyesha mama yako kwa huo ugonjwa atatumia sindano za kujichoma au vidonge katika maisha yake yote mpaka mwisho wa umri wake na sio rahisi kupona kwa kutumia hizo dawa nilizo kwambia. Ila kuna dawa za asili aka dawa za mitishamba zenye uwezo wa kumponyesha maradhi yake mama yako akimpata mtu wa kuweza kumtibia kwa dawa za asili atapona maradhi yake ya kisukari mama yako.Auguwa pole mama yako mkuu.

Habari
Nadhani kabla ya kutoa hitimisho la jumla, ni vyema kuelewa kwamba suala la kisukari ni mtambuka.
Hii ni kutokana na kuwa visababishi na hatua halisi ya mgonjwa ndo huweza kutanabaisha kama mgonjwa hawezi kupona kabisa au anaweza kupona.

Kuna wagonjwa ambao kulingana na chanzo halisi cha kisukari hata kwa dawa asili hutaweza kumponyesha kabisa na kuna aina ya kisukari na hatua zake tiba asili pamoja na lishe au tiba za hosipitali pamoja na lishe huweza kumponyesha mgonjwa.

Yote katika yote ni utafiti mzuri kwa mgonjwa husika na kupata tiba sahihi.
 
Kwwn mpaka sasa Mama hayupo katika kiliniki ya Kisukari??

Hamna dawa ya Hosp ya kuponyesha kisukari, badala yake ni kutumia dawa izo maisha yake yote TENA ATUMIE KWA UFASAHA SANA .

Kisukari ni kibaya .

Lkn pia wakati akiendelea na dawa izo, ni vema ajaribu mitishamba , mfano Juisi ya Ukwaju .
Yupo clinic mkuu lkn naona hii haitoshi, ahsante kwa ushauri juice ya ukwaju anatumia.
 
Habari
Nadhani kabla ya kutoa hitimisho la jumla, ni vyema kuelewa kwamba suala la kisukari ni mtambuka.
Hii ni kutokana na kuwa visababishi na hatua halisi ya mgonjwa ndo huweza kutanabaisha kama mgonjwa hawezi kupona kabisa au anaweza kupona.

Kuna wagonjwa ambao kulingana na chanzo halisi cha kisukari hata kwa dawa asili hutaweza kumponyesha kabisa na kuna aina ya kisukari na hatua zake tiba asili pamoja na lishe au tiba za hosipitali pamoja na lishe huweza kumponyesha mgonjwa.

Yote katika yote ni utafiti mzuri kwa mgonjwa husika na kupata tiba sahihi.
Ahsante mkuu,
 
wakuu, naomba mwenye kujua hospitl,dr mzuri wa ugonjwa wa kisukari mama yangu anasumbuka sana na huu ugonjwa wakuu.
Salama yake mama..
Kisukari ni Rafiki wa maisha hivyo hamtaachana Kabisa.. Sasa itabidi wawili hawa waheshimiane:-
Tiba ya uhakika ni
1. Kufuata Miiko..
2. Kutembea kila siku muda usiopungua saa 1 nzima.
3. Kumeza dawa alizoandikiwa kwa wakati.
4. Kula chakula cha mbogamboga
5. Kuto jihusisha na malumbano na unganganizi wa maamuzi yaani ubishi.
Hayo tu utaishi kwa furaha... Hongera utaiControl diabetes.
Niwatakie maisha muruwa...
 
Habari
Nadhani kabla ya kutoa hitimisho la jumla, ni vyema kuelewa kwamba suala la kisukari ni mtambuka.
Hii ni kutokana na kuwa visababishi na hatua halisi ya mgonjwa ndo huweza kutanabaisha kama mgonjwa hawezi kupona kabisa au anaweza kupona.

Kuna wagonjwa ambao kulingana na chanzo halisi cha kisukari hata kwa dawa asili hutaweza kumponyesha kabisa na kuna aina ya kisukari na hatua zake tiba asili pamoja na lishe au tiba za hosipitali pamoja na lishe huweza kumponyesha mgonjwa.

Yote katika yote ni utafiti mzuri kwa mgonjwa husika na kupata tiba sahihi.
Mkuu Hakuna Tiba ya hospitali itakayoweza kumponyesha mgonjwa wa kisukari utake au usitake. Kwa ushahidi soma hiki kiingereza kama unakijuwa hapa>

Can diabetes be cured permanently?
Although there's no cure for type 2 diabetes, studies show it's possible for some people to reverse it. Through diet changes and weight loss, you may be able to reach and hold normal blood sugar levels without medication. This doesn't mean you're completely cured. Type 2 diabetes is an ongoing disease.

Na Hakuna Lishe ya Chakula itakayoweza kutibu Maradhi ya kisukari aka diabetes. Ila kuna Dawa za Mitishamba aka dawa za asili ndizo zitakazo weza kutibu maradhi ya Kisukari nina uakika kile ninacho kisema Mkuu.

View attachment 1684534

Sayansi si imani, bali inajisimamia kiushahidi na pia kama utasoma na kutafakari nilichoandika utaelewa nilichomaanisha.

Mgonjwa ambaye anapata sukari kwa receptor resisistance, either kwa sababu ya obesity na mfumo wa maisha. Huyu anaweza kusaidiwa na dawa pamoja na kurekebisha mifumi yake ya maisha. Na hapa ndo nikasema utamkuta katika hatua ipi/stage. Hivyo, combination ya hivi vitu viwili vyaweza kumtoa huku na akiendelea na mwenendo mwema wa kimaisha kuhusu afya yake.

Dawa za sukari hutumika kurejesha sukari chini na mwenendo mzuri aina ya vyakula na mazoezi huifanya sukari ibaki kuwa ya kawaida. Kwani kuna aina ya dawa za sukari kazi yake ni kama tunavyosisitiza kufanya mazoezi/ kuondoa resistance ya receptors.

Kifupi tu, toa basic utaendaje kuzindua kongosho la mtu ambalo amezaliwa linazalisha insulin ambayo haifanyi kazi kutokana na tatizo la kijenetic/gene defect au kongosho haliwezi kutoa insulin kutokana na kuteketea kwa seli zake zinazotoa insulini.
 
wakuu, naomba mwenye kujua hospitl,dr mzuri wa ugonjwa wa kisukari mama yangu anasumbuka sana na huu ugonjwa wakuu.
Pole Sana dawa za kizungu hazisaidii KATIKA kadhia hiyo nitumie namba yako nikuelekeze dawa Mimi nimepona mkuu
 
Sayansi si imani, bali inajisimamia kiushahidi na pia kama utasoma na kutafakari nilichoandika utaelewa nilichomaanisha.

Mgonjwa ambaye anapata sukari kwa receptor resisistance, either kwa sababu ya obesity na mfumo wa maisha. Huyu anaweza kusaidiwa na dawa pamoja na kurekebisha mifumi yake ya maisha. Na hapa ndo nikasema utamkuta katika hatua ipi/stage. Hivyo, combination ya hivi vitu viwili vyaweza kumtoa huku na akiendelea na mwenendo mwema wa kimaisha kuhusu afya yake.

Dawa za sukari hutumika kurejesha sukari chini na mwenendo mzuri aina ya vyakula na mazoezi huifanya sukari ibaki kuwa ya kawaida. Kwani kuna aina ya dawa za sukari kazi yake ni kama tunavyosisitiza kufanya mazoezi/ kuondoa resistance ya receptors.

Kifupi tu, toa basic utaendaje kuzindua kongosho la mtu ambalo amezaliwa linazalisha insulin ambayo haifanyi kazi kutokana na tatizo la kijenetic/gene defect au kongosho haliwezi kutoa insulin kutokana na kuteketea kwa seli zake zinazotoa insulini.
SAYANSI ni Uongo Mtupu Sayasansi inapinga na kusema kuwa Hakuna Mungu. Ninarudia kusema tena Hakuna dawa ya Hospitali itakayoweza kutibu maradhi ya Kisukari .Ukitaka usitake ndio hivyo.

Mkuu Hakuna Tiba ya hospitali itakayoweza kumponyesha mgonjwa wa kisukari utake au usitake. Kwa ushahidi soma hiki kiingereza kama unakijuwa hapa>

Can diabetes be cured permanently?
Although there's no cure for type 2 diabetes, studies show it's possible for some people to reverse it. Through diet changes and weight loss, you may be able to reach and hold normal blood sugar levels without medication. This doesn't mean you're completely cured. Type 2 diabetes is an ongoing disease.

DR .SEBI WESTSRN MEDICAL RESEARCH.jpg
 
View attachment 1685006
Ndiyo maana nakueleza usiamini kila kitu kilichoandikwa kwa kiingereza kuwa ndio ukweli, wanaoandika wengine hawana hata scientific basics za yale waliyoyaweka kwenye site zao. Hivyo, kuwa makini na refence zako.
20210124_144152.png
20210124_144331.png
 
Ndiyo maana nakueleza usiamini kila kitu kilichoandikwa kwa kiingereza kuwa ndio ukweli, wanaoandika wengine hawana hata scientific basics za yale waliyoyaweka kwenye site zao. Hivyo, kuwa makini na refence zako.
View attachment 1685013View attachment 1685014
ulichoweka hapo ni maelezo ya Dr.Sebi jinsi alivyokamatwa na kuuliwa huko kwao Honduras na walio muwa ni wamarekani wanaotengeneza Madawa alikuwa anatibu maradhi yote . Wao hao watengeneza Madawa wanasema hakuna tiba ya ukimwi,Kisukari, Saratani, Maradhi ya presha na maradhi mengine sugu yeye Mwalim Wangu Dr.Sebi maradhi yote anayatibu wakaamuwa wamtengenezee kesi ya kuingiza pesa nchini mwake kinyume na sheria na wakampiga sindano ya maradhi ya homa ya mapafu wakamuuwa na huku yupo chini ya ulinzi wa polisi.

ALIYEGUNDUA DAWA YA UKIMWI: DOCTOR SEBI alichofanyiwa na ulimwengu unalia.

Amka kaka hakuna Dawa za kizungu zinazoweza kutibu maradhi ya kisukari hiyo kitu sahau maishani mwako.
 
Salama yake mama..
Kisukari ni Rafiki wa maisha hivyo hamtaachana Kabisa.. Sasa itabidi wawili hawa waheshimiane:-
Tiba ya uhakika ni 1. Kufuata Mike
2. Kutembea kila siku muda usiopunguea saa 1 mz8ma.
3. Kumeza dawa alizoandikiwa kwa wakati.
4. Kula chakula cha mbogamboga
5. Kuto jihusisha na malumbano na unganganizi wa maamuzi tyre.
Hayo tu utaishi law furaha... Hongera utaiControl diabetes.
Shukran mkuu kwa ushauri
 
Back
Top Bottom