Mkazahau111
Member
- Mar 3, 2017
- 85
- 70
- Thread starter
- #21
Nashukuru sana ntamtengenezeaTafuta majani ya mstafeli mchemshie atumie hayo hasubuhi na jioni kwa muda wa siku 21 bila kuacha Mwenyezi ataleta rehema zake.
Nashukuru sana ntamtengenezeaTafuta majani ya mstafeli mchemshie atumie hayo hasubuhi na jioni kwa muda wa siku 21 bila kuacha Mwenyezi ataleta rehema zake.
Ahsante mkuu, sukari yake ni type 1Kwanza pole sana,
Mama ana kisukari type 1 or 2?
Ni mnene?
Muhimu ni miiko!!Shukran mkuu
Mkuu pole sana kwa mama yako kusumbuliwa na huo ugonjwa wa kisukari .Lakini nijuavyo mimi hakuna dawa ya Hospitali itakayo weza kumponyesha mama yako kwa huo ugonjwa atatumia sindano za kujichoma au vidonge katika maisha yake yote mpaka mwisho wa umri wake na sio rahisi kupona kwa kutumia hizo dawa nilizo kwambia. Ila kuna dawa za asili aka dawa za mitishamba zenye uwezo wa kumponyesha maradhi yake mama yako akimpata mtu wa kuweza kumtibia kwa dawa za asili atapona maradhi yake ya kisukari mama yako.Auguwa pole mama yako mkuu.
SawaMuhimu ni miiko!!
Juisi ya Ukwaju juisi ya aiana yoyote ile sio dawa ya kutibu maradhi ya kisukari.Kuna dawa maalum za asili zenye kutibu maradhi ya kisukari Sio juisi ya ukwaju na wala jusi ya ubuyu.Yupo clinic mkuu lkn naona hii haitoshi, ahsante kwa ushauri juice ya ukwaju anatumia.
Tena hii kisukari ni mbaya kuliko ngoma. Nashangaa sana watu wanaongelea ngoma wakati kisukari ni kibaya zaidi.Kwwn mpaka sasa Mama hayupo katika kiliniki ya Kisukari??
Hamna dawa ya Hosp ya kuponyesha kisukari, badala yake ni kutumia dawa izo maisha yake yote TENA ATUMIE KWA UFASAHA SANA .
Kisukari ni kibaya .
Lkn pia wakati akiendelea na dawa izo, ni vema ajaribu mitishamba , mfano Juisi ya Ukwaju .
Kama imani yako ipo hospitali baci nakushauri uendelee kutafuta ila kama unataka kupata tiba ya ugonjwa wa kisukari. Bandhi yetu tunazo dawa. Na tayari zimesaidia wengi. Unitumie Pm miaka ya mama ako mzazi na type gani ya kisukari aliegundulika. Nikushauri jinsi ya kumsaidiewakuu, naomba mwenye kujua hospitl,dr mzuri wa ugonjwa wa kisukari mama yangu anasumbuka sana na huu ugonjwa wakuu.
Tena hii kisukari ni mbaya kuliko ngoma. Nashangaa sana watu wanaongelea ngoma wakati kisukari ni kibaya zaidi.
Lakini vyote is about lifestyle choices ila kisukari efects zake ni deadly kinoma...ukiwa na ngoma huwezi katwa mguu but kisukari hiyo probability ipo.Kisukari hakiambukizwi ndio maana watu hawakiongelei... ila ngoma inaambukizwa
Ahsante mkuu,Pole Sana.
Ila anaweza tumia majani ya mchai chai.
Maandaliz yake ni. Kuchemsha maji ya Moto then anaweka kwenye chupa.baada ya hapo anaweka majani ndani ya chupa.kwa muda wa dk 15.kwhyo Yale majan yanakuwa yameiva na mvukee.basi anakunywa asubuhi mchan na jion.
KUMBUKA.ASICHEMSHE MAJANI KWNYE MOTO MOJA KWA MOJA.IMANI KWANZA ANAPONA.
Ahsante, nipo dar, kkoo hospital gani mkuu?Unapatikana wapi,pole kwa changamoto ya mama,kuna Dk anaitwa Abbas anapatikana kariakoo ni mhindi mtafute,he is the best
Type 1 haina tiba ni ku control kupitia diet na sindano za insulin.Ahsante mkuu, sukari yake ni type 1
Si mnene
Anajulikana kwa jina lake sana,ngoja nichek namba ya pale utawapigia ni specialized wa kisukari,ncheki jioni hiviAhsante, nipo dar, kkoo hospital gani mkuu?
Type 1 inatokea utotoni pale kinga za mwili zako zina shambulia pancreatic cells na kusababisha mwili kushindwa kutoa insulin. Insulin inafanya cells za kwenye misuli , mafuta na ini kuchukua sukari iliokuwa kwenye damu kuitumia kama source of energy.Ahsante mkuu, sukari yake ni type 1
Si mnene
Type 2 inatibika Type 1 haitibiki. Mamake ana Type 1Kisukari kinatibika vizuri na kwisha Habari yake unaturn na normal sugar...mimi nilikuwa na unene na kitambi kwenda kucheck nkakuta diabetes type 2 Tena siku napima jioni ilikuwa 32 baada wiki kutumia dawa ikawa 17 after 3 week ikaturn normal then after 2 month dawa nikaacha kutumia.. huu ni mwaka na nusu iko normal.. Kwanza nilianza mazoezi tena hasa Mpaka sasa, kula vyakula vyote vilivyorecommended mtandaoni ,Vitu Nilivoacha completely hadi Leo ni kula Wali, soda, pombe, sukari, cakes etc..... Viungo vyangu muhimu kula haipiti siku moja Au mbili ni mdalasini, Tangawizi, bamia na kitunguu swaumu... Now Mwili wangu najifeel gud Sana compare na zamani. .wenye miili mikubwa na vitambi mjitathimini..
Naulizia kama mama ana mashine ya kupima sukari nyumbani hili niangalie kama kuna uwezo wa ku control zaidi kwa diet na kutumia insulin kidogo sana.Ahsante mkuu, sukari yake ni type 1
Si mnene