GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,848
- 109,557
"Kitendo cha Kuchanganya Kemikali mbili HATARI zilizoko katika Kinywaji cha Mo Energy na zilizoko katika Dawa ya Panadol ni Kuusababisha Moyo kwenda mbio usivyo tarajiwa na hatimaye Kuupasua na kusababisha Vifo vya Kushtukiza. Nguvu za Kiume haziongezwi na Mo Extra na Panadol hivyo Watu waache mara moja" amesema Daktari Bingwa wa Moyo jana Usiku katika Star Tv alipoalikwa..
Ngoja sasa GENTAMYCINE nitafute Mtaji na niwekeze zaidi katika Biashara za kuuza Majeneza na Maua ya Msibani kwani kwa ninachokiona Mitaani kwa Vijana na Wazee juu ya matumizi ya Mseto huu HATARI na USIO RASMI wa Kuchanganya Kinywaji cha Mo Extra na Dawa ya Panadol nitapata Wateja Marehemu wengi watakaokufa ghafla kutokana na MCHANGANYO huo.
Mimi GENTAMYCINE siku zote MSETO wangu ili kuwa na NGUVU ZA KIUME TUKUKA huwa ni kutumia tu Karanga Mbichi, Ndizi Mbivu, Maziwa ya Mtindi, Maji ya Madafu, Nazi kwa Kuitafuna, Uji wa Ulezi, Chai ya Tangawizi, Pilipili Mwendo kasi, Maji ya DAWASCO, Nyama ya Samaki au Mchuzi wake, Parachichi, Mazoezi ya Kukimbia, ya Viungo na Pushapu za Kutosha tu na uwepo wa Fedha Mfukoni au katika Amana zangu za Benki na katika Miamala ya Mitandao yangu ya Simu ili kutengeneza SAIKOLOJIA yangu mbele ya Mbunye ( K )
Na mtakufa sana tu Kudadadeki Ok?