wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,454
- 4,376
- Thread starter
- #41
Umeandika mara 3 na bado ueleweki! Usiku wote ulitaka akae macho hata kama hakuna mgonjwa? Akiitwa anakuja, sasa tatizo lake ni nini hapo? Hacha wivu wa ki - mobeto
siwezi kuwa na wivu wa kipumbavu kwa matendo au utendaji mbovu wa huyo daktari...