Daktari: Mbasha hakubaka shemeji yake

PP au wakili yoyote kwa sheria anatakiwa aisaidie mahakama kutenda haki ila bahati mbaya in practice huwa wanafanya tofauti, PF3 iliyokuwepo ndio hiyo na hiyo kesi haiwekeni bila hicho kitu au ushahidi wa kitabibu. Ok let us wait hii mdundo wa ngoma
 
ukisema hii kesi haiwezekani bila pf3, unakosea. hiyo pf3 ni part of ushahidi tu among other evidence, na ndio maana hata pf3 isipopokelewa (labda imeonekana defective, haikujazwa na competent expert, haijajazwa kulingana na taratibu, au imekuwa forged etc) bado kama ushahidi mwingine upo mzuri mtu anaweza kupata conviction. unaposema pp au wakili akiwa mahakamani yupo kwaajili ya kuisaidia mahakama kufikia haki, tambua kuwa aliyeleta hiyo kesi hapo ni wakili wa serikali/pp ambaye anao uwezo kuiondoa pia, hivyo ukiona hajaiondoa ina maana lengo lake ni kupata conviction, hayupo hapo ili kufanya maigizo ya kuleta kesi leta ushahidi dhaifu ili kudemonstrate kwamba yeye anaisaidia mahakama kufikia haki. kama anajiona yuko pale kuhakikisha haki inatendeka, alitakiwa kuiondoa kesi asiendelee nayo. kujifanya anatafuta haki kutendeka na kesi bado anaishikilia na hapohapo analeta mashahidi ambao hawasapoti kesi, anakuwa anaipotezea muda na resources mahakama. kama kesi haina mashiko, futa. kama ina mashiko anatakiwa kung'ang'ania hadi apate conviction.
 
Hivi siku 8 baadae hata angekuwa kabakwa kweli daktari angeona nn.....uchunguzi wa kubakwa hufanywa baada ya tendo, muhusika hatakiwi hata kuoga au kubadili nguo kabla ya vipimo kuchukuliwa.
 
hapo kitu cha kujiuliza ni kwanini huyo binti hakufanyiwa vipimo vya kimaabara siku ile ile,je daktari ndiye aliyesababisha au familia ya binti?
 
Alikuwa wapi muda wote huyu daktari? Huu ndio muda wa shetani kufanya kazi.

Alikuwepo ila kwa taratibu za kimahakama na mwenendo wa kesi muda wake wa kuitwa kama shahidi ulikuwa haujafika hivyo asingeweza kujipeleka tu au kuanza kuropoka, kimsingi alizingatia mno maadili ya kazi yake
 
hapo kitu cha kujiuliza ni kwanini huyo binti hakufanyiwa vipimo vya kimaabara siku ile ile,je daktari ndiye aliyesababisha au familia ya binti?

Ingekuwa ni daktari kasababisha amgeshakuwa matatani kitambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…