Daktari feki anaswa Sekou Toure

Daktari feki anaswa Sekou Toure

Madaktari wa kwelikina Dr. Shika wanadevela tu bila kufanya kazi zao.

Madaktari feki wanaona bora wawasaidie.
 
Watu kama hawa huingia hospitalini kufanya kazi maalum , anaweza kuwa ametumwa kummaliza mtu fulani kwa maagizo maalum , wengi wanaokamatwa huwezi kujua mwisho wao .
Sijawah sikia hukumu za hao watu na Polisi fake
 
Mm huwa najiuliza mtu anapangiwaje had zamu ya kwenda hadi theatre Kwan Ho zoez LA vyeti feki halijapta hapo seko toure kama maigizo vile
 
Tobaaaa!! Chumba cha upasuaji tena?!! Hiz hospital hadi vichaa wanaingia ckuhz kutibia..
 
Back
Top Bottom