Daktari bingwa wa wanaume

n00b

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
1,006
2,667
Wakuu,

Hivi kuna speshalisti wa wanaume? Anapatikana wapi?

Kuna maradhi ambayo kama mwanaume unatakiwa kukutakana na daktari bingwa na umweleze akupa ushauri au matibabu accordingly. Hii ya kukutana na daktari yeyote sidhani kama ni sahihi.

Kama yupo kwa hapa TZ au Nairobi basi naomba anuani (anapopatikana) yake. Na kama hakuna, wadau wa JF ambao ni madaktari fikirieni kuanzisha kliniki za kuwashauri/kuwatibu wanaume.
 
Katika tatizo gani hasa la kiume? Prostate cancer? Erectile disorders?
 
Madaktari bingwa wa wanaume hawajulikani sana hii ni kwa sababu matatizo mengi ya wanaume yanatibiwa na ma 'Physcian'MD.MMED
kama atashindwa basi atampa rufani kwa bingwa wa tatizo husika mfano la njia ya mkojo(urologist) na kadhalika,ugonjwa unaokusumbua ndio utakaonesha ni bingwa gani anakufaa,Kcmc tanzania wapo wengi,sijui kuhusu MNH/MOI
 
Back
Top Bottom