Daktari amshauri mgonjwa kula chapati tu

ICT OFFICER

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
235
299
Daktari amshauri mgonjwa kula chapati tu

Baada ya vipimo & majibu, daktari akamshauri mgonjwa kuanzial siku hiyo chakula chake kitakuwa ni chapati tu.......

Baada ya ngonjwa kusikia hivyo alifurahi kwaa kua uhakika wa chai upo daily.... lakini hakusita kumuuliza dakatari kwann atumia chapati tu?

Daktari akamjibu, akasema, chapati ndicho chakula pekee duniani kinachoweza kupita chini ya MLANGO.
Papo hapo daktari akaongeza kwa kusema ugonjwa wako hautibiki , ukikomaa utaweza kuambukiza wengine kwa njia ya kuwaangalia hivyo tutakufungia kwenye chumba milele, na chakula chako tutakuwa tunakipitisha chini ya mlango ambacho ni chapati tu.


Hahahahahahahhahaaha.
 
Duu...
tapatalk_1546701859393.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom