all in all, nchi yetu imeoza kwa maovu, hilo moja limeonekana, ni mangapi yanatendeka huko bila kuoneka? kila kona ni ufisadi tu, na si ajabu baada ya muda ukamkuta huyu dr yuko kazini kama kawa, cha msingi ni kuombeana kila siku maana inaonekana enzi za sodoma na gomora zimerejea tena.