CHOKAMBOVU
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 856
- 584
Wadau Hiki kitu kinaitwa TCU haliwatakii watanzania mema..toka kimeanza kufanya kazi zake, wamekuwa wakichagua wanafunzi waliosoma combination ya CBG Kwenda kwenye fani ya udktari..hii haikubaliki yani no dhulma kwa wale wanaosoma PCB! Haiwezekani umshindanishe mtu wa CBG ambayo ni rahisi kufaulu kuliko PCB Kwenda kwenye chuo hicho hicho..geography an physics wapi na wapi? Jamani TCU jiangalieni..ndio maana muhimbili waliwakataa hao wanafunzi waliokimbia physics..hakuna DAKTARI bila physics!take it or leave it..watafutieni Jina lingine
hamini usiamini idadi kubwa wanacoment humuna kusapoti CBG asome medicine ni madaktari waliosoma PCB.Mashaka umeshatiliwa wewe usiyetaka kubadilika,fatilia thread yote kuanzia mwanzo soma points za members walvyo defence kwa ustadi wa khali ya juu issue ya CBG kusoma medicine,kwa kweli wamefanikiwa kukonvince,kijana/mzee usiwe kichwa maji ebu badilika ata jiwe linabadilishwa na kuwa kokoto.Ambao hawakusoma PCB utawajua tu kwa arguments zao. Bwana Medicine ni PCB by tanzania standards, kinyume cha hapo hapa tutakutilia mashaka. Neda nchi zingine hata wa History, English wanasoma MD, hatuna shida nao kwa vile ni kwao, kwetu ni PCB!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
hamini usiamini idadi kubwa wanacoment humuna kusapoti CBG asome medicine ni madaktari waliosoma PCB.Mashaka umeshatiliwa wewe usiyetaka kubadilika,fatilia thread yote kuanzia mwanzo soma points za members walvyo defence kwa ustadi wa khali ya juu issue ya CBG kusoma medicine,kwa kweli wamefanikiwa kukonvince,kijana/mzee usiwe kichwa maji ebu badilika ata jiwe linabadilishwa na kuwa kokoto.
Unamjua DR MARIA MONTESSORI?
Acha ushamba na ujinga. Vyuo vipi kufundisha madaktari sio kupitisha madaktari. Kama chuo kinafanya kazi ya kufundisha kwa ufasaha hata mtu wa HGL anaweza kusoma udaktari.
Mbona kenya hakuna A level mtu akitoka form 4 anaingia chuo moja kwa moja,au kwao hawafanyi MD?
Kuna Dogo namfahamu alisoma HGL Mzumbe na Akapata scholarship ya kwenda kusoma Medicine Uturuki I think there is something wrong with our education system
.Acha ushamba na ujinga. Vyuo vipi kufundisha madaktari sio kupitisha madaktari. Kama chuo kinafanya kazi ya kufundisha kwa ufasaha hata mtu wa HGL anaweza kusoma udaktari.
why you think that any doctor must study physics for two years( a level)
What so special so that CBG cant become a good doctor without physics? You have to convice us and we dont want blah blah here.
I just wanna know. Whats so special in P?