Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,086
- 34,883
Heri ukose mguu kuliko kukosa hiyo kitu wadau
haha kuna jamaa alioumaniwa huku uswaz,jamaa wakamfanyia ubakaji kisha wakaingza spoku ya baiskel kwenye hyo kitu.oh maumivu
Ni kweli mkuu, Marehemu Dr. Lyimo alifunga ndoa February mwaka huu. Binafsi nilishiriki kwenye maandalizi hadi siku ya harusi. Alimuoa Nesi ambaye ni Mchaga mwenzake ambaye anafanyakazi huko Moshi, baada ya kuachana na mpenzi wake wa awali. Inasemekana kabla ya kujiua alienda kuwakabidhi Masista funguo ya nyumba yake iliyopo Kihonda-Mazimbu road pamoja na vitu vyake muhimu. Mwili wa marehemu umesafirishwa leo kwenda Moshi kwa mazishi.Jamaa namfahamu jamani kafunga ndoa majuzi tu!