Mkuu@keben ninao wajua ni dr.wanjara yupo mianzini,dr msuya wa st.thomas na dr.lekundayo wa mount meru hospital ambae wakati mwingine anapatikana AICC hospital,kila la kheri.Kama kuna mtu anamfaham daktari wa wanawake hasa mambo ya kizazi kwa mkoa wa Arusha anisaidie contacts zake na yuko hosiptali gani.
Asante sana kiongoziNenda St Thomas Hospital, kuna doctar mzuri anaitwa Dr Makando
Nashukuru sana kiongoziMkuu@keben ninao wajua ni dr.wanjara yupo mianzini,dr msuya wa st.thomas na dr.lekundayo wa mount meru hospital ambae wakati mwingine anapatikana AICC hospital,kila la kheri.